• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

NYANG’HWALE YAADHIMISHA SIKU YA USAFI DUNIANI KWA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA MAENEO MBALIMBALI.

Posted on: September 20th, 2024

Kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale, Afisa Tawala (W), Ndg. Vitalis Ndunguru ameshiriki kufanya zoezi la Usafi wa Mazingira pamoja na Wananchi. Kiwilaya Maadhimisho hayo yamefanyika leo Septemba 20, 2024 katika Kijiji cha Kharumwa, Kata ya Kharumwa.

Maadhimisho hayo yamehusisha shughuli za Usafi katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Nyang’hwale ikiwa ni pamoja na maeneo ya kutolea huduma za Jamii, na maeneo ya wazi.

Wananchi wakishiriki zoezi la Usafi

Akiongea Ndg. Vitalis Ndunguru katika Maadhimisho hayo amewataka Wananchi kujijengea tabia ya kufanya Usafi mara kwa mara katika maeneo yanayowazunguka na Wilaya kwa ujumla ili kuweka mazingira katika hali ya usafi muda wote.

Aidha, amewataka wamiliki wa maeneo mbalimbali yalio wazi kuhakikisha maeneo hayo  yanakuwa safi ili kuepusha magonjwa ya mlipuko kwa Wananchi. Pia amewataka wamiliki wa Mabasi ya Umma kuweka vifaa vya kuhifadhia taka kwenye magari yao.

Kushoto ni Mwenyekiti wa Kijiji cha Kharumwa Ngd. Said R. Hamisi akishiriki Usafi.

Akiongea kwa niaba ya Diwani wa Kata ya Kharumwa, Mwenyekiti wa Kijiji Ngd. Said R. Hamisi, amewashukuru Wananchi kwa kujitokeza kufanya usafi katika maeneo mbalimbali kama walivyotangaziwa hapo awali.

Maadhimisho ya Siku ya Usafi Duniani huadhimishwa kila Mwaka ifikapo Septemba 16, na kauli mbiu ya Mwaka 2024 inasema “Uhai Hauna Mbadala zingatia Usafi wa Mazingira”.

Afisa Tawala (W) akiongea na Wananchi baada ya zoezi la Usafi.

Afisa Mazingira Ndg. Ntiriyo Ezekiel akiongea baada ya zoezi la Usafi

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved