• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

“NYANG’HWALE INASONGA MBELE KWA KASI” MBUNGE WA JIMBO LA NYANG’HWALE.

Posted on: September 26th, 2024

Mbunge wa Jimbo la Nyang'hwale, Mhe. Hussein Nassor Amar (Kassu), Jana Septemba 25, 2024, amezungumza na Wananchi wa Vijiji vya Wavu na Ihushi, vilivyopo Kata ya Shabaka na kueleza mafanikio ya miradi ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa Jimbo la Nyang’hwale.

Akiwa kwenye Mkutano wa hadhara Uwanja wa Shule ya Msingi Wavu, Mhe, Kassu alieleza kuwa mafanikio yaliyopatikana chini ya Serikali ya awamu ya sita ni pamoja na kwenye Sekta ya Afya, Elimu, Umeme, Maji, Mawasiliano na Miundombinu.

Mbunge wa jimbo la Nyang'hwale Mhe. Hussein Nassor Amar (Kassu) akiomgea na Wananchi

Amesema kuwa maendeleo makubwa yaliyopatikana ni kutokana na ushirikiano mzuri kati ya Wananchi na Serikali. Aidha, ameeleza kuwa mafanikio hayo yamechangia ongezeko la Miundombinu ya kutolea huduma za Afya, Elimu na huduma nyengine za kijamii.

"Tunashukuru kwa ushirikiano wenu kama Wananchi, kwani bila nyie, haya mafanikio yasingepatikana. Tunaendelea kusukuma miradi mingine mbele ili kuhakikisha maisha yenu yanazidi kuwa bora." Alisema Mhe, Kassu.

Aidha, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji . Ndg Fedasto Milonga amesema Halmashauri imejipanga kushughulikia changamoto zilizopo kwa kushirikiana na Mhe. Mbunge na Wataalamu wa Taasisi nyengine kama vile RUWASA, TANESCO NA TARURA.

Wananchi wa kijiji cha Wavu wakimsikiliza Mbunge Mhe. Hussein Kassu

Sambamba na hilo amewataka Wananchi kujiandikisha kwa wingi kwenye orodha ya daftari la wapiga kura kuanzia Oktoba 11 hadi Oktoba 20, 2024 ili wapate sifa ya kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri  Ndg. Fedasto Milonga akihutubia wananchi

Mhe. Kassu amewataka Wananchi kuiunga mkono Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kuwa ni Serikali sikivu yenye kujali maslahi ya Wananchi.

Diwani wa Kata ya Shabaka Mhe. Kharim Chassama akizungumza na Wananchi

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved