• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

NAWAPONGEZA NYANGH’WALE KWA KUSIMAMIA MIRADI KWA UFANISI - RC SHIGELA

Posted on: May 22nd, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhe. Martine Shigela Jana Mei 22, 2024 ameipongeza Wilaya ya Nyang’hwale kwa kutekeleza na kusimamia miradi ya maendeleo kwa ufanisi na ubora mkubwa.

Ameyasema hayo akiwa kwenye ziara ya kukagua miradi ya maendelo pamoja na kikao maalum cha kuzungumza na wadau wa sekta ya madini Wilayani Nyang’hwale.

Mhe. Shigela amekagua mradi wa ujenzi wa Bweni la Wanafunzi wenye mahitaji maalum katika shule ya Msingi Bupamba, ambapo ujenzi huo unagharimu Tsh. Milioni 128 fedha kutoka Serikali kuu na upo kwenye hatua ya ukamilishaji.

“Dhamira ya Mhe. Rais ni kuona wale watoto wanaoshindwa kwenda shuleni kwa sababu ya mazingira ya ulemavu waliyonayo na wanahitaji msaada wa kupelekwa shuleni na kurudishwa, Mhe. Rais akaona ni vyema kuwajengea mabweni watoto wetu wenye mahitaji maalum” Amesema Mhe. Shigela

“Nafarijika kuona kwamba bweni limejengwa na limefikia hii hatua, rai yangu kwa Halmashauri ni kuhakikisha kuwa bweni hili linakamilika ndani ya mwaka huu ili tutakapoanza Januari mwakani basi tuanze na watoto wakiwa wanakaa hapa” Ameongeza Mhe. Shigela

Sambamba na mradi huo, amekagua pia mradi wa ukamilishaji wa kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, ambapo ukamilishaji huo umefanyika kwa fedha ya ufadhili kutoka Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi wenye thamani ya Tsh. Milioni 247.1.

“Nawapongezeni sana kwa jengo zuri la kituo cha uwezeshaji wananchi kiuchumi, na niwapongeze Wananchi walioasisi jengo hili kwa madhumuni ya kufanya ofisi ya Mkuu wa Wilaya na ndio maana imekua rahisi kwa Serikali kuleta fedha ya umaliziaji na kuwa kituo cha uwezeshaji wananchi kiuchumi” Amesema Mhe. Shigela

“Mkuu wa Wilaya, Katibu Tawala, Mkurugenzi na viongozi wote wa Wilaya nawapongezeni sana kwa kukamilisha jengo kwa ubora mzuri na kwa kweli panaonyesha sasa kwamba kuna uhai mkubwa unaopatikana kwenye Wilaya yetu hii ya Nyang’hwale” Amesisitiza Mhe. Shigela








Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved