• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MKUTANO WA PILI WA BARAZA LA MADIWANI KWA ROBO YA PILI YA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

Posted on: March 1st, 2024

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale, Mhe. John I. John ameongoza Mkutano wa pili wa baraza la madiwani kwa robo ya pili ya mwaka wa fedha 2023/2024 ulioketi jana Februari 29, 2024.

Mkutano huo pia ulihudhuriwa na viongozi mbalimbali ngazi ya Wilaya, ikiwa ni pamoja na Mbunge wa Jimbo la Nyang’hwale, Mhe. Nassor Amar Kasu, kamati ya ulinzi na usalama (W), viongozi wa vyama vya siasa na viongozi wa madhehebu ya dini.

Akiwasilisha taarifa yake, Mwenyekiti wa Halmashauri, ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Kafita, Mhe. John I. John, amesema kuwa Kwa kipindi cha Robo ya Pili ya Mwaka wa fedha 2023/2024 Halmashauri imepokea kiasi cha TZS. 1,592,302,423.52 kutoka Serikali Kuu pamoja na Wahisani kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo.

“Kiasi cha TZS 82,545,177.50 Kwa ajili ya kutekeleza na kukamilisha mradi wa Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi awamu ya III, kiasi cha TZS 347,855, 139.35 kwa ajili ya miradi ya Ujenzi wa matundu ya vyoo, ukamilishaji wa zahanati, Ujenzi wa Bweni la Shule Maalum, na ukamilishaji wa vyumba vya madarasa”. Amesema Mhe. John

“Halmashauri imeweza kupokea kiasi cha fedha TZS, 883,431,106.67 ya mradi wa kuondoa umasikini kupitia mfuko wa maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa ajili ya kutekeleza ujenzi wa miundombinu ya Elimu na Afya”. Ameongeza Mhe. John

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale, Ndugu, Husna Toni, katika taarifa yake amesema kuwa kwa mwaka wa fedha 2023/2024 Halmashauri ilikasimia kukusanya Tsh. 3,207,499.106 na hali ya makusanyo hadi kufikia Mwezi Disemba 2023, ilikuwa Tsh. 2,014,062,530.73 sawa asilimia 51.85, ambapo hadi kufikia Februari 25, 2024 ukusanyaji ulikua umefikia asilimia 83.

Aidha, katika sekta ya Afya Halmasahuri imeanza kutoa huduma kwa wazazi kupitia wodi mpya iliyopo katika Kituo cha afya Nyijundu, kata ya Nyijindu. Sambamba na hilo, wodi maalumu (Private ward) iliyopo Hospitali ya Wilaya nayo imeanza kutoa huduma, huku wodi ya wazazi iliyopo Kituo cha Afya Kafita ipo hatua ya mwisho kuelekea kuanza kutoa huduma.

Mbunge wa Jimbo la Nyang’hwale Mhe. Nassor Amar Kasu ametumia nafasi hiyo kumshukuru sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutenga fedha nyingi za miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Nyang’hwale.







Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU HALMASHAURI IMEPOKEA FEDHA TSH. BILIONI 1.1 ZA MIRADI YA MAENDELEO

    May 16, 2025
  • SIKU YA FAMILIA WAZAZI WATAKIWA KUIMARISHA FAMILIA

    May 15, 2025
  • BARRICK NA HALMASHAURI WASAINI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR 2025

    May 13, 2025
  • DAS AWATAKA WAZAZI KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

    May 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved