• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MKUTANO WA PILI WA BARAZA LA MADIWANI KWA KIPINDI CHA ROBO YA PILI YA MWAKA WA FEDHA 2022/2023.

Posted on: February 24th, 2023

Mkutano wa Baraza la Madiwani wa robo ya Pili ya Mwaka wa Fedha 2022/2023 kuanzia Oktoba hadi Disemba 2022 umefanyika kwa siku mbili tarehe 23/02/2023 na 24/02/2023. Mkutano huu wa Baraza umeongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Mhe. John I. John Diwani wa Kata ya Kafita na Kuhudhuriwa na Wajumbe wa Baraza hilo (Madiwani wa Kata zote 15), Kamati ya Ulinzi na Usalama ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya Mhe. Grace Kingalame, Wakuu wa Taasisi, Wakuu wa Divisheni na Vitengo wa Halmashauri Pamoja na Wananchi wote.

Siku ya kwanza ya mkutano wa Baraza ilikua maalumu kwaajili ya Kupokea na Kujadili Taarifa za Utekelezaji wa Shughuli za Miradi ya Maendeleo ya Kata zote 15 kwa kipindi cha Kuanzia Oktoba hadi Disemba. Ambapo Taarifa za Kata zote ziliwasilishwa na Waheshimiwa Madiwani na kujadiliwa na Baraza. Siku ya Pili ya Mkutano Baraza lilipokea Taarifa ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale, Taarifa ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya, Kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Mkurugenzi Mtendaji na Mwenyekiti. Pia Baraza lilipata nafasi ya Kupokea na Kujadili Taarifa za Utekelezaji wa Shughuli za Kamati za Kudumu kwa Kipindi cha kuanzia Oktoba hadi Disemba 2022 ambapo Taarifa zilizowasilishwa na Kujadiliwa ni Taarifa ya Kamati ya Fedha Utawala na Mipango, Taarifa ya Uchumi Ujenzi na Mazingira, Taarifa ya Elimu na Afya na Taarifa ya Kamati Shirikishi ya Kudhibiti Ukimwi. Aidha Baraza liliketi kujadili Masuala ya Kiutumishi.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved