• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MKUTANO WA KWANZA WA BARAZA LA MADIWANI KWA ROBO YA TATU YA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

Posted on: May 16th, 2024

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale leo Mei 16, 2024 limeketi Mkutano wake wa kwanza wa robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2023/2024 kwenye ukumbi wa jengo la Utawala la Halmashauri.

Mkutano huo wa Baraza umeongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ambae pia ni Diwani wa Kata ya Kafita, Mhe. John I. John, na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa ngazi ya Mkoa na Wilaya.

Akifungua mkutano huo Mhe. John I. John aliwapongeza waheshimiwa madiwani kwa kuendelea kushughulikia changamoto za wananchi katika maeneo yao na kuwataka kuendelea na utaratibu huo wa kutatua kero za Wananchi.

Sambamba  na hilo alitumia nafasi hiyo kuipongeza Kamati ya Ulinzi na Usalama inayoongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale Mhe. Grace Kingalame kwa kuendelea kusimamia maswala ya amani ndani ya Wilaya.

Aidha, Katibu wa Baraza ambae pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale Ndugu, Husna Toni amewaomba Waheshimiwa Madiwani na Wananchi kwa  ujumla kushiriki katika kipindi maalum cha “Meza ya Afisa Habari’, kinachoangazia mazuri yanayofanywa na serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais, Mhe, Samia Suluhu Hassan.

Waheshimiwa madiwani kwa nyakati tofauti walipata wasaa wa kuwasilisha taarifa za maendeleo ya Kata zao kwa kuangazia miradi na shughuli mbalimbali zilizotekelezwa kwa kipindi cha robo ya tatu kuanzia Januari hadi Machi 2024

Mkutano huo utaendelea kesho Mei 17, 2024.








Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved