• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MKUTANO WA BARAZA MAALUM LA KUJADILI HOJA ZA CAG

Posted on: June 21st, 2022

RC GEITA AIPONGEZA NYANG'HWALE

Mhe Rosemary Senyamule mkuu wa mkoa Geita ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale kwa kupata hati safi kwa mwaka wa fedha 2020/21 ambayo inakuwa ni mfululizo wa miaka mitatu. 

Mhe RC ameyasema hayo leo Juni 21, 2022 alipokuwa akihutubia mkutano maalum wa kujadili hoja za mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2020/21 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri wilaya ya Nyang'hwale huku akisisitiza juu ya mambo mbalimbali ikiwemo Halmashauri kuhakikisha inapeleka TRA kodi ya zuio kwa wakati. "niwapongeze Nyang'hwale kwa kuendelea kuwa na hati safi, hiii inaonesha jitihada zinazpfanyika katika kukuza uchumi wa nchi yetu" amesema mhe. Senyamule.

Alisema pia ni mhimu kwa kila Halmashauri kuendelea kutunza mazingira ukizingatia kwa nyang'hwale kuna uchimbaji wa madini unaoendelea kila eneo.

Announcements

  • TANGAZO LA USAFI WA MAZINGIRA SIKU YA JUMAMOSI July 28, 2022
  • WALIOITWA SEMINA YA SENSA July 28, 2022
  • TANGAZO LA USAILI WA KAZI ZA SENSA July 18, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2020 February 01, 2021
  • View All

Latest News

  • MKUTANO WA BARAZA MAALUM LA KUJADILI HOJA ZA CAG

    June 21, 2022
  • ZIARA YA MANAGER MGODI WA BULYAHULU WILAYA YA NYANG'HWALE

    June 20, 2022
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA TATU

    May 11, 2022
  • ZIARA YA WAJUMBE WA ALAT MKOA

    April 29, 2022
  • View All

Video

Ligi daraja la tatu
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved