• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI SIKU YA KWANZA

Posted on: February 15th, 2022

Mapema leo tarehe 15/02/2022 kumefanyika mkutano wa Baraza la Madiwani wa kujadili taarifa za robo ya pili zinazoishia tarehe 31 Desemba, 2021. Baraza hizo liliongozwa na Mwenyekiti wa Baraza hilo Mhe. Isack John Diwani kata ya Kafita. Mhe Mwenyekiti alianza kwa kusoma sara ya Halmashauri na baadae alifungua mkutano huo mnamo saa tano na robo asubuhi. Baada ya kufungua aliwataka waheshimiwa madiwani kuwasilisha taarifa zao za kata ili zijadiliwe. Katika taarifa hizo wajumbe walitoa ushauri mbalimbali na wengine walipongeza. Mfano katika kata ya Bukwimba Mhe Mwenyekiti alimpongeza Mwenyekiti wa WDC kwa kuwatambua wajisiamali wadogo na kuweza kuwatengea eneo la kufanyia kazi zao. Kuendelea kuhimiza Amani kwa wananchi wetu ili waondoe Imani potofu na waishi kwa Amani. Diwani kata ya Mwingiro alishauriwa ahamasishe vijana, wanawake na walemavu wajiunge katika vikundi na mhe diwani awasaidie ili waweze kusajiriwa na kupata fursa ya kukopeshwa mikopo ya 10% inayotolewa na Halmashauri. Pia ubovu wa barabara na ukosefu wa maji safi na salama, umeme kwa maeneo mengi ni changamoto iliyoripotiwa na taarifa nyingi za kata ambapo TARURA na RUWASA wameaswa wazichukue kwa ajili ya kuzipatia majibu ili wananchi waweze kufaidika na huduma hizo. Mkurugenzi Mtendaji amewahimiza watendaji wa kata kupokea na kutatua changamoto zinazojitokeza katika kata zao au kuziwasilisha kwa mamlaka husika kama watakuwa hawana majibu na hizo changamoto, hii itasaidia baraza la madiwani kuwa na ufanisi kuliko kila wakati kuendelea kujadili changamoto zile zile kila wakati. Mhe Mwenyekiti ameahirisha baraza mnamo saa tisa alasiri, baraza litaendelea siku inayofuata….

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved