• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA TATU NYANG’HWALE LAMSHUKURU RAIS SAMIA

Posted on: May 11th, 2023

Mkutano wa Baraza la Madiwani Robo ya Tatu ya mwaka wa fedha 2022/2023 umefanyika kuanzia tarehe 10 na 11 mwezi wa 5. Baraza limepokea na kujadili Taarifa za Utekelezaji wa shughuli za Maendeleo katika kipindi cha kuanzia mwezi Januari mpaka Machi mwaka 2023.

Akiongoza Baraza hilo la tatu kwa mwaka wa fedha 2022/2023 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale Mhe. John I. John, Diwani Kata ya Kafita alipokea Taarifa za Utekelezaji wa Miradi na Shughuli za maendeleo kutoka Kata zote Kumi na Tano (15).

Ambapo, Baraza lilipata nafasi ya kujadili taarifa hizo kwa kina na kuibua maswala muhimu ambayo yanahitaji utatuzi wa haraka. Mambo yaliyoibuliwa na baraza ni uwepo wa maboma katika Kata zote ambayo yamejengwa kwa nguvu za Wananchi ambayo yanahitaji kukamilishwa. Baadhi ya Maeneo katika Wilaya kutofikika kirahisi kwa kukosa barabara, zilizoharibika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Sambamba na hayo kulikua na swala la baadhi ya Vituo vya kutolea huduma kutokua na miundombinu ya Umeme,

Aidha, siku ya pili Baraza lilipokea taarifa ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya na Taarifa ya Mkurugenzi Mtendaji. Akitoa taarifa ya Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. John I. John alilieleza baraza kuwa katika kipindi cha kuanzia januari hadi machi halmashauri ilipokea pikipiki 6 kwaajili ya Maafisa Watendaji wa Kata na pikipiki 4 kwaajili ya Maafisa Ugani kutoka Serikali Kuu. Lengo likiwa ni kuwezesha watumishi hao kufanya kazi katika mazingira mazuri, kusimamia utekelezaji wa miradi mbalimbali na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi katika maeneo yao.

Pia, Mhe Mwenyekiti aliwasilisha taarifa za mapokezi ya fedha zilizopokelewa katika kipindi cha robo ya tatu yam mwaka kiasi cha TZS 246,830,646.00 kutoka Serikali Kuu pamoja na wahisani. Ikiwa TZS 226,830,646.00 kwaajili ya Mradi Endelevu wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini na 20,000,000.00 ni kwaajili ya kuimarisha Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK).

Aidha alieleza kuwa Halmashauri ilipokea kiasi cha TZS 850,250,000.00 kutoka Serikali Kuu kwaajili ya Kutekeleza Ujenzi wa Vyoo kwenye Shule Shikizi, Ujenzi wa Nyumba za Watumishi katika Shule za Msingi, Ukamilishaji wa Shule Mpya za Msingi pamoja na Ukamilishaji wa Maabara na Mabweni katika Shule za Sekondari.

Mwisho, Mhe Mwenyekiti wa Halmashauri, Mhe, John I John, alitumia fursa hiyo kumshukuru sana Mh, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri ya kuendelea kututengea fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali katika sekta ya Afya, Elimu, Kilimo, Uvuvi na Ufugaji.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved