• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA TATU

Posted on: May 11th, 2022

Halmashauri ya wilaya ya nyangwhale kwa mujibu wa taratibu tarehe 10-11/05/2022 iliitisha baraza la kawaida la madiwani la kujadili taarifa ya utekelezaji wa robo ya tatu (Januari hadi Machi). Katika taarifa ya Mwenyekiti wa Halmashauri alieleza kuwa mnamo tarehe 24-26/04/2022 kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ilifanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe kwa ajili ya kujifunza namna bora ya usimamizi wa misitu ikiwa ni mikakati wa halmashauri kuhakikisha kunakuwa na usimamizi na utunzaji wa misitu iliyopo Wilayani Nyanghwale ambao ni msitu wa Miyenze na misitu iliyopo katika kijiji cha Lyuru. “Ukerewe wana utajiri mkubwa wa misitu ambayo inazidi hata utajiri wa dhahabu uliopo Nyanghwale” alisisitiza Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri.

Katika taarifa ya Mkurugenzi Mtendaji Bi. Husna Toni alieleza Baraza kuwa katika robo ya tatu Halmashauri imefanikiwa kutoa mikopo ya kiasi cha Tshs. 124,000,000.00 ili kuwakwamua wananchi kiuchumi. Vikundi vilivyopewa mikopo ni wanawake milioni 58, vijana milioni 54 na walemavu milioni 12. “Mhe. Mwenyekiti mikopo hii inatokana na mapato ya ndani pamoja na marejesho ya vikundi mbalimbali vilivyokopeshwa awali” alisema Mkurugenzi Mtendaji (W). Pia Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wamepongeza juhudi kubwa zinazofanywa na wakuu wa Idara na Vitengo katika suala zima la utekelezaji wa Ilani na kufanya viongozi wa Chama kutembea kifua mbele.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved