• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MKURUGENZI NYANG’HWALE AWAKUMBUSHA MAAFISA WATENDAJI KATA NA VIJIJI MAJUKUMU YAO KWA KIKAO KAZI

Posted on: May 3rd, 2023

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale Bi Husna Toni leo tarehe 03/05/2023 ameendesha kikao kazi na Maafisa Watendaji wa Kata na Vijiji Pamoja na Walezi wa Kata zote kwa lengo la kukumbushana Majukumu yao ili kuongeza hari ya utekelezaji wa Majukumu. Kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri kimeudhuriwa na Maafisa Watendaji wa Kata zote 15, Maafisa Watendaji wa Vijiji 62 vilivyoko ndani ya Halmashauri.

Bi Husna amewakumbusha Maafisa Watendaji wa Vijiji kuwa wao ndio washauri wakuu wa Serikali za Vijiji na Kamati zake katika Mipango ya Maendeleo ya Kijamii na Utekelezaji wa mipango ya maendeleo, kuwa wao ndio wahasibu wa Serikali za Vijiji na wasimamizi wa Mapato na Matumizi ya vijiji, wao ndio walinzi wa Amani na wasiamamizi wa Utawala bora katika vijiji, Makatibu wa kamati za Halmashauri za vijiji, wao ni watafsiri wa Sera, taratibu na wasimamizi wa utekelezaji wa Sheria ndogondogo za vijiji.

Kwa upande wa Maafisa Watendaji wa Kata Bi Husna Toni aliwakumbusha kuwa wao ndio kiungo cha Uongozi kwa Idara zote katika Kata, ndio makatibu wa KAmati za Maendeleo ya Kata. Wao ndio wanaomsaidia Mkurugenzi Mtendaji (W) kuratibu na kusimamia shughuli zote za Uchaguzi. Pia aliwaambia wao ndio watendaji kazi wa wataalamu na watendaji wengine katika ngazi ya Kata.

Aidha Mkurugenzi Mtendaji Bi Husna alitumia kikao kazi hicho kuwaagiza Watendaji wa Kata na Vijiji kusimamia kampeni za Vyoo bora katika maene yao. Alitoa rai katika Usimamizi upatikanaji wa chakula shuleni ili kukabiliana na swala la Utoro wa Watoto Mashuleni. Swala la ukusanyaji wa mapato ya Serikali Pamoja na ushirikiano katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali. Aliwakumbusha kusoma Taarifa za mapato na Matumizi katika vikao vyao. Sambamba na hilo aliwataka kuanza kujiandaa na mapokezi ya Mwenge wa Uhuru utakaopita mwezi wa nane wilayani hapa.

 Katika hatua ingine wajumbe wa kikao kazi hicho walipata nafasi ya kupokea taarifa ya mapokezi ya fedha za BOOST Tshs. 1,160,800,000.00 kutoka kwa Mratibu wa Mradi wa Kuimarisha Ufundishaji na Ujifunzaji kwa Shule za Awali na Msingi (BOOST), Magoti Sarya. Ambae aliwapitisha aliwaeleza awamu hii Halmashauri imepokea fedha hizo kwaajili ya Miradi itakayotekelezwa kwemye Shule 6.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved