• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MKURUGENZI MTENDAJI AMEZINDUA MAFUNZO YA UTOAJI ELIMU YA MFUMO WA FURSA NA VIKWAZO KWA MAENDELEO

Posted on: September 11th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri  ya Wilaya ya  Nyang’hwale, Ndg. Husna Toni, leo Septemba 11, 2024 amezindua mafunzo ya utoaji elimu ya Mfumo Ulioboreshwa wa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo yaliyofanyika katika Ukumbi wa mikutano wa Kituo cha uwezeshaji Wananchi Kiuchumi.

Mfumo ulioboreshwa unalenga kuishirikisha jamii katika maamuzi ya uanzishwaji wa miradi ya maendeleo inayoanzishwa kwa nguvu za Wananchi na ile inayotengewa fedha kutoka vyanzo mbalimbali.

Mkurugenzi ameelekeza kuwa Wataalamu wa Halmashauri watoe msaada wa ushauri, kitaalamu, na kifedha wa namna ya utekelezaji wa miradi inayoianzishwa na Wananchi ili kuleta maendeleo katika jamii.

Diwani wa kata ya Kharumwa Mhe.Leonard Mgema amewasisitiza wajumbe wa mkutano kupokea mafunzo hayo na kwenda kutekeleza kwa vitendo katika majukumu ya kazi zao.

Aidha, Mwenyekiti wa kijiji cha Bumanda Ndg. Kagembe Kabeta amependekeza kuwa Serikali isaidie kumalizia miradi iliyoanzishwa kwa nguvu za Wananchi ili iweze kuanza kutoa huduma.


Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • MILIONI 206 ZATOLEWA KWA VIKUNDI 31 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WENYE ULEMAVU AWAMU YA KWANZA YA MWAKA 2025/2026

    October 24, 2025
  • MKURUGENZI MKUU TAKUKURU AZINDUA JENGO LA OFISI ZA TAKUKURU NYANG'HWALE

    October 22, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAHIMIZWA KUWAHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI

    October 18, 2025
  • WATENDAJI WA KATA WAJENGEWA UWEZO WA KUSIMAMIA MIRADI KWENYE KATA ZAO

    October 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved