• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Mjaliwa kutegua Kitendawili cha Maji Nyang’hwale

Posted on: November 24th, 2018

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Kassim anatarajia kufanya ziara ya kikazi wilayani Nyang’hwale Mkoani Geita 27 Novemba mwaka huu akiwa wilayani humo kiongozi huyo atatembelea miradi mbalimbali sambamba na kuweka jiwe la msingi katika miradi na kuongea na wananchi.

Taarifa hiyo imetolewa jana ijumaa na Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Hamim Gwiyama wakati akiongea na madiwani wa halmashauri hiyo Mkutano wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri

Gwiyama amesema kuwa katika ziara hiyo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atatembelea na kuona mwenendo wa Mradi wa Maji wa Nyamtukuza, Kituo cha Afya cha Kharumwa na kuzindua Kiwanda cha kusaga mawe ya Dhahabu Nyamigogo na baadae kuongea na wananchi katika viwanja vya sabasaba Wilayani hapo.

Katika taarifa ya Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo mbele ya Madiwani amesema wamejipanga kukusanya mapato ili kufanya halmashauri hiyo kuwa na uwezo wa kujiendesha bila wasiwasi.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri amethibitisha kuwa yuko kwenye vita dhidi ya upotevu wa mapato ambapo ametoa taarifa yenye mageuzi makubwa kwenye ukusanyaji wa maato kwa kipindi cha miezi mitatu ya robo ya kwanza wa mwaka wa Fedha 2018/19.

Bi Chaurembo amesema kwa sasa Halmashari ya wilaya ya Nyang’hwale inakusanya kiasi cha Tshs. Milioni 21 kwa wiki tofauti na awali ambapo Halmashauri ilikusanya Milioni Sita tu kwa wiki. Kwa kipindi cha Mwezi mmoja tu wa kumi na moja amesema wamekusanya Fedha taslimu Milioni 93 hadi kufikia tarehe 21.

Kuhusu Elimu Mkurugenzi ameelezea kuwa 98% ya Watoto wa darasa la saba kwa shule za Msingi sitini wamefanya Mtihani wa kuhitimu Elimu ya Msingi mwezi Septemba mwaka huu.

Aidha aligusia Watoto ambao hawakufanya mtihani huo kwa mwaka huu kutokana na sababu mbalimbali kuwa ni wavulana 14 na wasichana 21 ambao 9 kati yao ni kwa sababu ya kupata ujauzito.

Mhe. Hussein Nassor, Mbunge wa Jimbo la Nyanghwale ameoneshwa kusikitishwa na namna mienendo ya kesi za Mimba inavyokwenda Wilayani hapa na kupelekea kutotiwa hatiani kwa watuhumiwa wengi ambapo amewataka Idara ya Polis kufanya upelelezi kwa kina na kuwafikisha Mahakamani watuhumiwa ili iwe fundisho kwa watu wenye tabia hizo.

Mhe Adam Mtore, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wilaya amewataka watendaji wa Idara ya Kilimo kutokaa Ofisini kipindi hiki cha Maandalizi ya mashamba ambapo amebainisha kuwa wananchi wanahitaji usaidizi wa kitaalamu kwenye Kilimo isije ikatokea tena kama msimu uliopita ambapo Kilimo cha Pamba Wilayani hapa hakikufanikiwa kabisa.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved