• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MHE.GRACE KINGALAME AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA NG'WASABUKA

Posted on: April 16th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Nyang'hwale, Mhe. Grace Kingalame leo Aprili 16, 2024 amezungumza na  Wananchi wa Kijiji Cha Ng'wasabuka, Kata ya Mwingiro.

Mhe. Kingalame amezungumza na Wananchi hao juu ya mpango kazi wa ulipwaji wa fidia kwa Wananchi hao kutoka Mgodi wa Barrick Bulyanhulu baada ya zoezi la uthamini na taratibu nyengine zinazohusiana na zoezi hilo kukamilika.

"Ndugu zangu Wananchi niwaombe muwe watulivu na wastahimilivu kwa kipindi cha muda mchache wakati wataalamu wetu wakikamilisha taratibu za mwisho kuelekea kulipwa fedha zenu" Amesema Mhe. Kingalame

"Mimi nikiwa kama Mwenyekiti wa Usalama wa Wilaya hii nitahakikisha kila Mwananchi anapata haki yake kama alivyofanyiwa uthamini kwa mujibu wa sheria za Nchi yetu" Ameongeza Mhe. Kingalame

Ziara ya Mkuu wa Wilaya iliambatana na Watalamu kutoka ofisi ya vitambulisho vya Taifa (NIDA), Maafisa wa benki kwa ajili ya kuhakikisha kila Mwananchi anakua na akaunti ya kupokelea fedha zake na wataalamu wa Halmashauri.

Mhe. Kingalame amewasisitiza Wananchi hao kuhakikisha kila mmoja anakua na viambata muhimu vinavyotakiwa kama namba au vitambulisho vya NIDA na akaunti za benki ili kila Mwananchi apatae haki yake kwa wakati.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved