• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MHE. DKT. SAMIA ANAJALI MASLAHI YA WAFANYAKAZI – MBUNGE (MWAKILISHI WA WAFANYAKAZI)

Posted on: July 26th, 2024

Mbunge wa viti maalum (Mwakilishi wa Wafanyakazi Bungeni), Mhe. Dkt. Alice Kaijage, leo Julai 26, 2024 amefanya kikao maalum kuzungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale kwenye ukumbi wa mikutano wa Halmashauri.

Mhe, Dkt. Alice amezungumza na watumishi hao kuhusu mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kusikiliza changamoto zao na kuzitolea ufanunuzi.

Pamoja na mambo mengine, Mhe. Dkt. Alice amesema kuwa anamshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kujali maslahi ya Watumishi ikiwa ni pamoja na kuongeza ajira,  kupandisha vyeo na madaraja, na kulipa madeni na stahiki za Watumishi.

“Kwa muda wa miaka miwili tangu alivyoingia madarakani Machi 2021 hadi kufikia Juni 2023 Mhe. Dkt. Samia amepandisha vyeo na madaraja Watumishi 455,000 “ Amesema Mhe. Dkt. Alice

“Pamoja na changamoto alizokutana nazo za Ugonjwa wa UVIKO 19 na nyenginezo lakini Mhe. Dkt. Samia ametoa pesa zaidi ya Bilioni 220 kulipa malimbikizo ya mishahara kwa Watumishi 130,166 ndani ya miaka miwili” Ameongeza Mhe. Dkt. Alice

Aidha, Mhe. Dkt. Alice amewasisitiza Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale kujitokeza kwenye zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura na kushiriki kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu 2024 na Uchaguzi Mkuu ifikapo 2025.

Amesema kushiriki uchaguzi ni haki ya kila raia wa Tanzania aliyefikisha umri wa miaka 18 na zaidi, hivyo Watumishi wajitokeze kwa wingi kwenye zoezi hilo ili watumie haki yao ya Msingi ya kuchagua viongozi.

Mhe. Dkt. Alice yupo kwenye ziara ya kikazi mkoani Geita na baada ya kukutana na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale atakutana na Watumishi wa Halmashauri ya Mji Geita.











Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved