• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MAPOKEZI YA VITABU VYA KIADA VYA SHULE ZA SEKONDARI

Posted on: September 14th, 2023

Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale imepokea jumla ya vitabu 8,833 vya kiada vya masomo ya Sayansi kwa Shule za Sekondari kutoka Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) vyenye thamani ya Shilingi za kitanzania 34,052,184/=.

Wakati wa kukabidhi vitabu hivyo kwa walimu, Mwenyekiti wa Halmashauri, Mhe John I. John, alisema ni wakati sasa wa kuinua kiwango cha taaluma katika Halmashauri yetu kwa kuwa serikali inajitahidi kuboresha mazingira ya kutolea elimu mashuleni.

Mkurugenzi Mtendaji (W), Ndugu, Husna Toni, amewasisitiza walimu kuhakikisha wanavitumia vitabu hivyo kwa usahihi na kwa malengo yaliyokusudiwa. Pamoja na mambo mengine ameelekeza pia kuvitunza ili viweze kutumika kwa muda mrefu zaidi.

Mkakati wa serikali ni kuhakikisha inaweka mazingira wezeshi ya kufundishia kwa walimu na kujifunzia kwa wanafunzi. Mazingira hayo ni pamoja na uwepo wa vitabu vya kutosha mashuleni.

Aidha, Mhe. John I. John amemshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutenga fedha kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo.




Announcements

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU November 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • View All

Latest News

  • KONGAMANO LA VIJANA TARAFA YA NYIJUNDU

    November 26, 2025
  • PIKIPIKI 23 ZAKABIDHIWA KWA VIKUNDI 6 VYA VIJANA VILIVYONUFAIKA NA MKOPO WA ASILIMIA 10

    November 19, 2025
  • KATIBU TAWALA (W) AFUNGUA NYUMBA ZA WATUMISHI SHULE YA MSINGI MABOGO NA ZAHANATI YA KAFITA

    November 18, 2025
  • WAFANYAKAZI WA BANK YA CRDB NYANG'HWALE WAPEWA ELIMU YA KUJIKINGA NA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

    November 12, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved