• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Majaliwa aagiza kukamatwa Mkaguzi wa Ndani Nyang’hwale

Posted on: November 30th, 2018

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ameagiza kukamatwa na kuchukuliwa hatua za Kisheria kwa Mkaguzi wa Ndani wa Halmashauri ya Nyang’hwale kwa kuisababishia Hasara Serikali kutokana na upotevu wa Fedha za Miradi zaidi ya Bilioni Tatu. na wengine watakaobainika kwenye uchunguzi wakamatwe na kuunganishwa kwenye kesi hiyo ili

Amesema hayo Jumatano Novemba 28, 2018 alipokuwa akizungumza na Watumishi wa Wilaya hiyo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri. Amesema haiwezekani Mkaguzi wa Ndani akawepo kwenye Taasisi na Fedha zipotee yeye akiwa anaangalia tu.

Aidha, Majaliwa amesisitiza Watumishi kuwajibika kwa kufanya kazi kwa Weledi na kujiepusha na Wizi, Ufisadi, Rushwa,na Ubadhirifu wa aina yoyote kwenye Serikali ya awamu ya tano.

Amewata Madiwani kulinda Fedha za Miradi zisipotee na ziwe na thamani Halisi kulingana na Ubora wa Miradi ilivyo. Amewasihi pia kushirikiana na watendaji ili kuijenga Nyang’hwale Changa kwani inahitaji nguvu ya pamoja kuiinua.

Kutokana na Taarifa ya kuwa na Mimba 72 kwa mwaka kwa Watoto wa shule Wilayani humo, Majaliwa ameagiza Maafisa Elimu kutokaa Ofisini badala yake waende Maashuleni wakatatue matatizo huko na amemtaka Naibu Waziri TAMISEMI kubaki Wilayani hapa kuzungumza na idara zote za Elimu na kuhusiana na Suala la Mimba na Kutoa Maagizo ya Serikali.

Alipokuwa akizungumza na Wananchi kwenye Mkutano wa Hadhara amewahakikishia wananchi kupata maji mwakani ikiwa ni mwendelezo wa kampeni aliyoanzisha Mhe. Rais ya “Mtue Mama Ndoo”. Ambapo amemtaka Mhandisi wa Maji kutoka Wizara ya Maji kwa niaba ya Katibu Mkuu kubaki Wilayani hapa kusimamia Mradi huo hadi apate ufumbuzi wa kuuendeleza.

Suala la Barabara amewaahidi kwenye bajeti ya mwaka wa Fedha ujao Busisi hadi Nyaholongo itajengwa kwa kiwango cha lami.

Aidha amesema pia suala la wapi ni Makao makuu ya Wilaya hiyo kuwa ni Kharumwa kutokana na vikao halali vilivyokaliwa hapo awali na sio kwa mapenzi ya mtu Fulani.

Amewahakikishia wazazi kuwa Mashuleni hakuna Michango tena hivyo basi wawapeleke Watoto wao shule kuwaandikisha mara wanapotimiza umri wa kuanza shule.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved