• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MAFUNZO YATOLEWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA

Posted on: October 26th, 2025

Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Nyang’hwale Ndg. David Mabula leo Oktoba 26, 2025 amefungua mafunzo Ya Wasimamizi wa Vituo na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya kupigia Kura kwa ajili ya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.

Mafunzo hayo yanafanyika kwa muda wa siku mbili kuanzia leo Oktoba 26 hadi Oktoba 27, 2025 ambapo jumla ya Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya kupigia Kura 1,110 wanapatiwa mafunzo hayo katika Bwalo la Shule ya Sekondari Msalala na Shule ya Sekondari Nyang’hwale.

Akiwa katika mafunzo hayo Msimamizi wa Uchaguzi amewaapisha Wasimamizi wa Vituo na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya kupigia Kura kiapo cha kutunza siri na kujitoa uanachama wa chama cha Siasa.

Aidha, amewataka Wasimamizi wa Vituo na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya kupigia Kura kuzingatia Sheria, Kanuni za Taratibu za kusimamia Uchaguzi kwa kuwa ndio msingi wa Uchaguzi bora.

Katika hatua nyengine, Wasimamizi wa Vituo na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya kupigia Kura wametakiwa kuendelea kuzisoma na kuzielewa Sheria, Kanuni na Taratibu ili kusimamia uchaguzi kwa weledi.

Wasimamizi wa Vituo na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo wamepewa mafunzo mbalimbali ikiwemo kujua taratibu za upigaji Kura, Mazoezi ya ufungaji Vituturi,Masanduku ya Kura na Matumizi ya Majalada ya Nukta nundu.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • WAFANYAKAZI WA BANK YA CRDB NYANG'HWALE WAPEWA ELIMU YA KUJIKINGA NA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

    November 12, 2025
  • WATENDAJI WA KATA WATAKIWA KWENDA KUSIMAMIA MIRADI KWA UFANISI

    November 07, 2025
  • MAFUNZO YATOLEWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA

    October 26, 2025
  • MILIONI 206 ZATOLEWA KWA VIKUNDI 31 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WENYE ULEMAVU AWAMU YA KWANZA YA MWAKA 2025/2026

    October 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved