• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MAAFISA WAANDIKISHAJI WAPATA MAFUNZO KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Posted on: October 8th, 2024

Kwa niaba ya Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale, Afisa Uchaguzi (W)  Ndg. Dickson Msumari leo Oktoba 08, 2024 amefungua mafunzo ya zoezi la Uandikishaji wa Orodha ya Wapiga Kura litakaloanza Oktoba 11 hadi 20, 2024.

Maafisa Waandikishaji wakisiliza mafunzo kutoka kwa wawezeshaji

Akiongea kwa niaba ya Msimamizi wa Uchaguzi, Ndg. Dickson Msumari amewataka Waandikishaji wa Orodha ya Wapiga Kura kuzingatia kananuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, Muongozo na Maadili ili kuleta tija kwenye zoezi hilo.

Aidha, amewataka Waandikishaji kushirikiana kikamilifu na wadau wa Uchaguzi ambao ni Vyama vya Siasa, Wagombea, Serikali  na mawakala wa uandikishaji  ili kuleta uwazi na kufanya uchaguzi huru na wa haki.

“Mawakala wa vyama vya siasa watasaidia kuwatambua wakazi wa eneo husika wakati wa uandikishaji na wakati wa upigaji wa kura, hivyo kupunguza kutokea kwa vurugu au malalamiko yasiyokua ya lazima” Amefafanua.

Sanjari na hayo, Hakimu Mfawidhi wa Wilaya ya Nyang’hwale Mhe. Idran D, Chuvaka amewaapisha Waandikishaji wa Orodha ya Wapiga Kura na kuwataka kuwa waaminifu na kutunza siri kuelekea zoezi la uandikishaji.

Maafisa Waandikishaji wakiapa

Muwezeshaji wa Mafunzo ambae pia ni Msimamizi Msaidizi, Mhandisi Dentony Bugenyi amewaeleza Waandikishaji taratibu zinazotakiwa kufuatwa siku ya kuandikisha Wapiga Kura na kuwataka kufanya kazi kwa umakini ili kujiepusha kufanya makosa.

Msimamizi Msaidizi Mhandisi Dentony Bugenyi akiwasilisha mada

Jumla ya Maafisa Waandikishaji 288 wamepata mafunzo hayo na kauli mbiu ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 inasema “Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi, Jitokeze kushiriki Uchaguzi”

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved