• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MAAFISA MAENDELEO YA JAMII WATAKIWA KUWA WAAMINIFU KWENYE UUNDAJI WA VIKUNDI VYA MIKOPO YA ASILIMIA 10

Posted on: October 21st, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale, Ndg. Husna Toni, leo Oktoba 21, 2024 amefungua mafunzo kwa Maafisa Maendeleo ya jamii ngazi ya Kata na Halmashauri juu ya mfumo ulioboreshwa wa utoaji wa mikopo kwa Vikundi vya Vijana, Wanawake na Wenye Ulemavu katika Ukumbi wa mikutano wa Halmashauri.

Mafunzo hayo yanalenga kuwajengea uwezo Maafisa Maendeleo ya Jamii juu ya uanzishaji wa vikundi vya kiuchumi, kukuza ujuzi na uwezo wa vikundi vinavyotarajiwa kupata mikopo kwa ajili ya mitaji ya kuanzisha na kuendeleza shughuli za kiuchumi.

Maafisa maendeleo ya Jamii wakisikiliza mafunzo ya mikopo ya Vijana, Wanawake na Wenye ulemavu

“Jukumu kubwa ni kuhakikisha   fedha zinaenda kutoa matokeo kwa jamii kwa njia hii ya mikopo ili waweze kupata mitaji ya kujikwamua kiuchumi” Amesema.

Aidha, amewataka Maafisa hao kuwa waaminifu katika kusimamia vikundi hivyo ili kuwe na urejeshaji mzuri wa mikopo hiyo, ambapo amesema wasimamizi wanapaswa kuwa makini kuhakikisha vikundi vinaundwa kwenye maeneo wanayofanyia kazi.

“Nendeni mkapate database ya vikundi ambavyo vina mikopo na haijarejeshwa ili tuone ni kwa namna gani tunaweza kuongeza nguvu na maarifa ya kuzifanya zile fedha zirudi ili wakopeshwe wakopaji wengine wenye uhitaji” Amesisitiza

Maafisa maendeleo ya Jamii wakisikiliza mafunzo ya mikopo ya Vijana, Wanawake na Wenye ulemavu

Pamoja na mambo mengine, Afisa Maendeleo ya jamii anayeshughulikia mikopo hiyo ngazi ya Halmashauri, Ndg. Yahya Selemani amesema mafunzo hayo ni muhimu kwa Maafisa maendeleo ya jamii kwa kuwa wana jukumu kubwa katika kusimamia vikundi na kuratibu zoezi la kupokea maombi na utoaji elimu kwa wananchi.

Afisa Maendeleo ya jamii anayeshughulikia mikopo ya asilimia 10 ngazi ya Halmashauri, Ndg. Yahya Selemani akiwasilisha mada

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU HALMASHAURI IMEPOKEA FEDHA TSH. BILIONI 1.1 ZA MIRADI YA MAENDELEO

    May 16, 2025
  • SIKU YA FAMILIA WAZAZI WATAKIWA KUIMARISHA FAMILIA

    May 15, 2025
  • BARRICK NA HALMASHAURI WASAINI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR 2025

    May 13, 2025
  • DAS AWATAKA WAZAZI KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

    May 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved