• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MAAFISA KILIMO WATAKIWA KUONGEZA UBUNIFU KUWASAIDIA WAKULIMA

Posted on: August 25th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale, Ndg. Husna Toni amewataka Maafisa Kilimo kuongeza ubunifu ili waweze kuwasaidia wakulima kufanya kilimo bor chenye tija.

Ameyasema hayo Agosti 23, 2024 alipokutana na Wataalamu wote wa Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi kwenye shughuli maalum ya kukabidhi vitendea kazi (Vishikwambi 20 na gwanda 16) vilivyotolewa na Serikali ili kuboresha Sekta ya Kilimo, Mifugo, na Uvuvi.

Amesema wakatumie vitendea kazi hivyo kubuni mbinu mbalimbali za kitaalamu zitakazowasaidia wakulima kuzalisha kwa wingi na hatimae kuwa mavuno ya kutosha kwa ajili ya chakula na biashara pia.

Aidha, amesema ni jukumu la wataalamu hao kubadilisha mitazamo ya Wakulima kutoka kwenye kilimo cha mazoea na kufanya kilimo bora kinachozingatia mbinu za kitaalamu kama vile kupima udongo, matumizi ya mbegu bora na zana bora za kilimo.

Makamu Mwenyekiti, Mhe. Revocatus J. Ng’hwaya amemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale vitendea kazi hivyo vitakavyorahisisha shughuli za kila siku za Maafisa Ugani kwenye maeneo yao.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved