• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MAADHIMISHO YA SIKU YA WALIMU GEITA YAFANA WILAYANI BUKOMBE

Posted on: October 3rd, 2025

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Kassim Majaliwa Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya Sita imeendelea kuthamini na kuwekeza kwenye kada ya ualimu.

Mhe. Majaliwa ameyasema hayo leo Oktoba 03, 2025 kwenye Maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani yaliyofanyika kimkoa Wilayani Bukombe kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi Ushirombo.

Amesema Serikali ya awamu ya Sita imeendelea kusimamia Sera na mikakati ya kuboresha elimu kwa kuajiri walimu wapya kila mwaka ili kupunguza upungufu na mzigo kwa Walimu waliopo.

"Takwimu zinaonesha wazi kuwa idadi ya walimu kwa mkoa wa geita imeendelea kuongezeka kutoka walimu 11,646 mwaka 2021 hadi kufikia walimu13,379 kwa mwaka 2025" Ameeleza

Aidha, amesema Serikali pia imeendelea kuboresha maslahi ya walimu ambapo kwa mwaka wa fedha 2024/2025 zaidi ya walimu 7,500 wamepandishwa madaraja yao na kazi hiyo inaendelea.

Naibu Waziri Mkuu, na Waziri wa Nishati, Mhe. Dotto Biteko amesema taaluma ya ualimu ndio taaluma pekee inayomtengeneza mtu awe bora kuliko mwalimu mwenyewe..

"Mwalimu hupambana wakati wote kumfanya mtu kuwa bora, hujinyima muda wake na nguvu zake nyingi kumtengeneza mtu kuwa mume bora, mke bora na baadae Mzazi bora wa familia" Amefafanua Mhe, Biteko.

Kushoto Mkuu wa Wilaya ya Nyang'hwale Mhe. Grace Kingalame pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Chato Mhe. Louis Bura kwenye Maadhimisho ya Siku ya Mwalimu.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale Ndg. Husna Toni akiwa kwenye maadhimisho ya Siku ya Mwalimu

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • WATENDAJI WA KATA WAJENGEWA UWEZO WA KUSIMAMIA MIRADI KWENYE KATA ZAO

    October 10, 2025
  • WANANCHI WATAKIWA KUJIFUNZA ELIMU YA WATU WAZIMA KIDIGITALI ILI KUCHOCHEA MAENDELEO YA TAIFA

    October 10, 2025
  • DC KINGALAME AKABIDHI MBEGU ZA MAHINDI KWA SHULE ZOTE ZA SEKONDARI NA MSINGI

    October 09, 2025
  • MRADI WA INTER HOUSE COMPETITION WAWAVUTIA WANAFUNZI KUKAA BWENI

    October 08, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved