• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

KUFUNGWA KWA SEMINA YA MAFUNZO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Posted on: October 1st, 2024

Kwa niaba ya Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmshauri ya Wilaya ya Nyang’hwale, Msimamizi Msaidizi Ndg. Dikson Msumari, amefunga Semina ya utoaji wa mafunzo kwa Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi leo Oktoba 01, 2024 katika Ukumbi wa mikutano wa Halmashauri.

Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi wakisikiliza maelekezo wakati wa kufunga semina ya mafunzo ya Uchaguzi

Awali amewapongeza Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya Wilaya, Kata na Kijiji kwa kuhudhuria semina hiyo na kuwataka Wasimamizi hao kutekeleza wajibu wao kwa kuzingatia haki na usawa ili kufanikisha zoezi la uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Aidha, Kamanda wa TAKUKURU Ndg. Benjamini Nyihande amekemea vitendo vya Rushwa na kuwataka Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi wajiepushe na viashiria vya aina yoyote ya vitendo hivyo.

Kamanda wa TAKUKURU Ndg. Benjamin Nyihande akitoa mada wakati wa kufunga mafunzo ya Semina ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Pamoja na mambo mengine amewataka Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi kuendelea kutoa elimu na hamasa kwa Wananchi juu ya ushiriki wao katika uchaguzi wa selikari za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 unachagizwa na kauli mbiu isemayo “Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi, Jitokeze Kushiriki Uchaguzi”

Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Wilaya Mhandisi Dentony Bugenyi akitoa mada wakati wa kufunga Semina ya mafunzo ya Uchaguzi wa Serikali za MItaa

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved