• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

KUELEKEA SHEREHE ZA MIAKA 59 YA MUUNGANO WA TANZANIA NYANG'HWALE YAFANYA USAFI WA MAZINGIRA

Posted on: April 21st, 2023

Kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Wilaya ya Nyang'hwale imefanya Usafi Maeneo yote ikiwa ni Mwendelezo wa kile ambacho wamekua wakifanya kila siku. Leo tarehe 21/04/2023 Katibu Tawala Wilaya Ndugu Fabian Yinza Akimuwakilisha Mkuu wa Wilaya hii aliongoza Mamia ya wananchi walio kwenye eneo la Mgodi wa Igalula kufanya usafi wa Mazingira. 

Zoezi Hili liliongezwa nguvu na Watumishi wa Serikali Kutoka Taasisi zote zinazotoa huduma Nyang'hwale ikiwa ni Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya, Wafanyakazi wa Tarura, RUWASA, TANESCO, Ofisi ya Mkuu wa Wilaya, NIDA, Jeshi la Akiba, Jeshi wa Polisi na Vikosi vingine vya Majeshi.



Announcements

  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA TSH. 805,623,928 KUTOKA SERIKALI KUU July 14, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI 53 ZA KUKUSANYA MAPATO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANGH'WALE June 23, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 03, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • View All

Latest News

  • WAZAZI NA WALEZI WATAKIWA KULINDA HAKI ZA WATOTO

    June 16, 2025
  • NYANG'HWALE YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 11, 2025
  • MILIONI 303 ZATOLEWA KWA VIKUNDI 53 VYA VIJANA, WANAWAKE NA WENYE ULEMAVU AWAMU YA PILI

    June 03, 2025
  • NYANG'HWALE YAZINDUA ZOEZI LA CHANJO DHIDI YA KICHAA CHA MBWA

    June 02, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved