• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

KIKAO MAALUM CHA KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO CHARIDHIA KUBADILI MFUMO WA UJENZI JENGO LA HALMASHAURI - NYANG'HWALE

Posted on: February 25th, 2023

KIKAO MAALUM CHA KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO CHARIDHIA KUBADILI MFUMO WA UJENZI JENGO LA HALMASHAURI - NYANG'HWALE

Kikao Maalum Cha Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango kilichoketi leo tarehe 25/02/2023 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale kimekubali Ombi la Kubadili Mfumo wa Ujenzi wa Jengo la Utawala la Halmashauri hiyo. Hatua hii imefikiwa baada ya mfumo wa awali wa kutumia Mkandarasi kushindwa kukamilisha kazi kwa wakati kutokana na  changamoto mbalimbali.


Kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Mhandisi wa Wilaya, Mhandisi Bruno Marco alizitaja changamoto hizo kuwa ni Halmashauri Kukosa Fedha za Ujenzi Kwa vipindi tofauti na pili ni Mkandarasi kukosa Mtaji wa kutekeleza mkataba kama ilivyokusudiwa.


Akiwasilisha Taarifa ya Kuomba ridhaa ya kutekeleza mradi kwa "Force Account"

Mhandisi Bruno aliwaeleza wajumbe wa Kamati kuwa kiasi Cha Fedha shilingi Bilioni moja kilichotolewa na Serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan kitatumika kuezeka na kukamilisha upande wa chini wa Jengo (Ground Floor) Ili shughuli za kiofisi ziweze kuendelea wakati ukamikishaji wa floor ya juu ukiwa unaendelea. Ujenzi huu unataraji kufanyika kwa kipindi cha miezi minne baada ya upatikanaji wa fundi atakayefanya kazi hii.


Aidha Kamati kwa niaba ya Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale imemshukuru Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha za ukamilishaji wa Jengo la Utawala ili kuboresha utaoji wa huduma kwa Wananchi, aidha Kamati imebariki na kuridhia ombi Hilo na kuagiza usimamizi ufanyike kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu zilizowekwa na Serikali.

Kamati ilisisitiza Utekelezaji ufanyike kwa wakati ili ofisi za Halmashauri ziondoke katika majengo ya Hospitali ya Wilaya kuruhusu utoaji wa huduma za Afya kufanyika sawasawa na malengo ya Serikali kwa Wananchi wake.

Announcements

  • MAPOKEZI YA FEDHA KIASI CHA TSH.20,000,000.00 TOKA GPE - LANES II March 28, 2023
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA March 27, 2023
  • KUSOGEZA MUDA WA UFUNGUZI WA ZABUNI UJENZI WA UZIO WA KARAKANA March 24, 2023
  • TANGAZO LA USAFI WA MAZINGIRA WA KILA JUMAMOSI YA MWISHO WA MWEZI. March 22, 2023
  • View All

Latest News

  • KURUGENZI FC YA NYANG'HWALE YAPATA UONGOZI MPYA BAADA YA UCHAGUZI LEO

    March 23, 2023
  • SERIKALI YATOA PIKIPIKI 4 KWA MAAFISA UGANI - NYANG'HWALE

    March 23, 2023
  • KIKAO MAALUM CHA KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO CHARIDHIA KUBADILI MFUMO WA UJENZI JENGO LA HALMASHAURI - NYANG'HWALE

    February 25, 2023
  • MKUTANO WA PILI WA BARAZA LA MADIWANI KWA KIPINDI CHA ROBO YA PILI YA MWAKA WA FEDHA 2022/2023.

    February 24, 2023
  • View All

Video

Ligi daraja la tatu
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved