• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

KIKAO KAZI KWAAJILI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO NYANG’HWALE

Posted on: April 19th, 2023

Kikao kazi cha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale na Afisa Watendaji wa Kata, Vijiji, Wakuu wa Shule na Walimu Wakuu kimefanyika leo tarehe 19/04/2023 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Msalala. Kikao hiki cha kuelekezana na Kukumbushana mambo ya kuzingatia wakati wa Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo kimekua kikifanyika kwaajili ya kuongeza Ufanisi katika Kutekeleza miradi.  Hii imekuja baada ya Halmashauri ya Wilaya kupokea zaidi ya Kiasi cha Tshs. Milioni Mia Tisa na Hamsini kwaajili ya Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo.  

Akizungumza Kwenye Kikao hicho Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale Bi. Husna Toni amewakumbusha Wajumbe wa Kikao hicho kutimiza najukumu yao kwani kutokutimiza Majukumu ni utovu wa nidhamu na ni dhambi kwa Mungu, kutekeleza miradi kwa gharama nafuu huku wakizingatia ubora na alama tambuzi (Specifications) zilizotolewa na Mhandisi, Uundwaji wa Kamati za Ujenzi zenye sifa na waledi ili kupata mradi ulio na ubora, Viongozi wa Kata na Vijiji kuhakikisha kunakua uwazi na uwajibikaji. Alikumbushia swala la ulinzi na Utunzaji wa vifaa vya miradi ili kuepousha upotevu wa mali za Serikali na kutokuongeza gharama za Mradi, Malipo kwa Mafundi yafanyike kwa wakati ili miradi ikamilike kwa wakati, Pia aliwakumbusha Wakuu wa Shule na Walimu wakuu kuhudhulia Vikao vya Vijiji.

Kwa upande mwingine Afisa Takukuru Wilaya, Bi. Wakuru David aliwahasa kutojihusisha na mambo yote yatakayokwamisha Miradi hiyo ambayo lengo lake ni kuongeza hali ya utoaji huduma kwa wananchi wa Nyang’hwale. Alizungumzia umuhimu wa kutekeleza miradi kwa kufata Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo iliyowekwa na Serikali ikiwa.

Aidha Afisa Mipango Wilaya Ndugu Utali Makwea aliongelea swala la ushirikishwaji wa Jamii katika ujenzi wa Miradi hiyo kwa kuwataka watendaji kuhakikisha wanaielewesha jamii juu ya uwepo na umuhimu wa kuchangia miradi hiyo (Nguvu za Wananchi). Sambamba na hilo alizungumzia swala la uchaguzi wa eneo la kujenga mradi kuwa ni swala ambalo linapaswa kutazamwa vizuri kwani uchaguzi mbaya unaweza kusababisha gharama za maandalizi ya eneo kuwa kubwa, pia alizungumzia swala la uwepo wa faili la Mradi husika na litunze nyaraka zote za Mradi.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved