• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

KIKAO CHA BARAZA LA BIASHARA WILAYA YA NYANG’HWALE

Posted on: October 27th, 2022

Kikao cha Baraza la Biashara cha Wilaya kimefanyika leo Tarehe 27/10/2022 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale. Mwenyekiti wa Baraza la Biashara ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale Mh. Jamhuri D. William ameongoza Baraza hilo lililohudhuriwa na Viongozi wa Wafanyabiashara, Wadau wa Biashara (Mabanki), Wakuu wa Idara na Wataalamu kutoka Taasis mbalimbali pamoja na Wafanyabiashara.

Baraza lilipokea na kujadili Taarifa mbalimbali kutoka Taasis za Umma na Wadau. Taarifa zilizopokelewa ni pamoja na Taarifa ya Idara ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji, Taarifa ya Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Taarifa kutoka TANESCO, TARURA, RUWASA, Taarifa kutoka kitengo cha Manunuzi cha Halmashauri, Taarifa ya Afisa Madini Wilaya, Taarifa kutoka Bulyanhulu Gold Mining Ltd, Nyanzaga Gold Mining Ltd, Taarifa kutoka Banki ya NMB, CRDB, Taarifa kutoka Bima ya Afya Nyang’hwale na Taarifa kutoka kwa Meneja wa TRA Mkoa wa Geita.


Baada ya kupokea na kujadili taarifa hizo Wadau walitoa Changamoto mbalimbali na kuweka Maazimio ili kukabiliana na Changamoto hizo. Changamoto zilizotolewa ni pamoja kutokuwepo kwa Ofisi ya TRA wilayani hivyo wafanyabiashara kukosa huduma yao kwa urahisi. Wafanyabiashara na watoa huduma kwenye Miradi ya CSR kutokua na risiti za EFD. Kupatiwa eneo maalumu la Machinga siku za jumatano na jumamosi ili kusaidia wafanyabiashara wanaosafiri kutoka mbali kuja kwenye mnada kwa siku hizo kutokosa maeneo ya kupanga bidhaa zao (Sasa wafanyabishara wa soko la kawaida wanachanganyikana na wale wanaosafiri kutoka mbali hivyo kunakua na msongamano mkubwa na wengine kukosa kabisa maeneo ya Biashara kwa siku ya jumatano na jumamosi).

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • MILIONI 206 ZATOLEWA KWA VIKUNDI 31 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WENYE ULEMAVU AWAMU YA KWANZA YA MWAKA 2025/2026

    October 24, 2025
  • MKURUGENZI MKUU TAKUKURU AZINDUA JENGO LA OFISI ZA TAKUKURU NYANG'HWALE

    October 22, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAHIMIZWA KUWAHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI

    October 18, 2025
  • WATENDAJI WA KATA WAJENGEWA UWEZO WA KUSIMAMIA MIRADI KWENYE KATA ZAO

    October 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved