• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI CHA ROBO YA NNE 2022/2023

Posted on: August 18th, 2023

Kikao cha Baraza la Madiwani cha robo ya nne kwa mwaka wa fedha 2022/2023 kimefanyika kwa siku mbili kuazia jana Agosti 17, 2023 na kuhitimishwa leo Agosti 18, 2023 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale.

Akiwasilisha taarifa yake Mwenyekiti wa Halmashauri, Mhe. John I. John amesema katika kipindi cha robo ya nne kwa mwaka wa fedha 2022/2023 ameweza kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa ndani ya Wilaya ya Nyang’hwale.

“Nilifanikiwa kushiriki katika hafla ya ufunguzi wa Miradi ya TASAF iliyofanyika mnamo Mei 25, 2023 kwa ajili ya kukabidhi mradi wa nyumba moja ya Walimu (2 in 1) katika Shule ya Msingi Wenzura pamoja na Bweni la wasichana (Daharia ya wanafunzi 80) katika Shule ya Sekondari Nyijundu” Alisema Mhe. John I. John

“ Niliweza kuratibu ziara ya mafunzo maalum Mkoani Arusha kwa ajili ya kuwajengea uwezo Waheshimiwa Madiwani pamoja na Wakuu wa Idara na Vitengo ikiwa ni kuongeza ufanisi katika utendaji kazi na utoaji huduma kwa kuzingatia utawala bora” Aliongezea Mhe. John I. John

Pia, kupitia ziara hiyo maalum waliweza kupata mafunzo kuhusu dhana ya Uwezeshaji wananchi kiuchumi na utawala bora, ambapo Halmashauri inatarajia kuanzisha kituo cha uwezeshaji wananchi kiuchumi ili kuinua ubora wa Maisha, ustawi wa jamii, hifadhi ya jamii na kupunguza kiwango cha umaskini.

Aidha, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Majagi Maiga, akiwasilisha taarifa yake alisema, Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale katika mwaka wa fedha  2022/2023 imevuka lengo la makisio ya ukusanyaji wa mapato ya ndani kutoka Bilioni 2.6 na kufikia Bilioni 3.2, ambayo sawa na asilimia 107 ya lengo.

“Katika kipindi cha mwaka wa fedha 2022/2023 Halmashauri imepokea fedha kutoka serikali kuu kiasi cha Tsh. Bilioni 6.2 zikiwa ni kwa ajilili ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika sekta ya Afya, Elimu, Mazingira na Maji” Aliongeza Bw. Majagi.

Bw. Majagi alimalizia kwa kutoa shukrani za dhati kwa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutenga fedha kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo Wilayani Nyang’hwale.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved