• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

KAMATI YA USHAURI YA WILAYA YAPENDEKEZA ONGEZEKO LA KATA NNE

Posted on: March 14th, 2025

Mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri ya Wilaya ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale Mhe. Grace Kingalame Jana Machi 13, 2025 ameongoza kikao maalumu cha Kamati ya Ushauri kujadili maeneo mapya ya Kiutawala.

Mkutano huo umejadili ongezeko la maeneo mapya ya Kiutawala katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale zikiwemo Kata na Vijiji.Kamati hiyo imependekeza kugawanywa kwa Jimbo la Nyang’hwale na kuwa Majimbo mawili ambapo jimbo la kwanza litakuwa linaitwa Kharumwa lenye Kata ya (Kharumwa, Nyugwa, Izunya, Kafita, Bukwimba na Nundu) na Jimbo la pili ni Nyang’hwale ambalo litakuwa na Kata ya (Nyang’hwale, Shabaka, Kakora, Kaboha, Mwingiro, Nyabulanda, Nyamtukuza, Nyijundu na Busolwa).

Aidha, Kamati imependekeza kuongezeka kwa Kata nne ambazo zitagawanywa kutoka kwenye kata za Kharumwa, Shabaka, Nyugwa na Kakora ili kuongeza ufanisi kwenye utoaji huduma kwa Wananchi wanaohishi katika maeneo hayo.

Vilevile Kamati imependekeza kuongezeka kwa Vijiji vinavyopatikana katika Kata mbalimbali ambavyo ni Kijiji cha Igalula na Gulumbai kutoka Kata ya Kafita, Kijiji cha Beya na Shigungumuli kutoka kata ya Nyugwa.

Pia, kamati imependekeza kuanzishwa kwa Kijiji cha Sweya kutoka Kata ya Izunya, Kijiji cha Ikondo na Nyamakala kutoka Kata ya Nyabulanda, Kijiji cha Buzilima kutoka Kata ya Kakora, Kijiji cha Ipalang’ombe na Busulwangili kutoka Kata ya Nundu.

Ikumbukwe kuwa,mchakato wa kuchunguza, kugawa au kubadili majina ya maeneo ya utawala ni maagizo ya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ambapo mchakato huo hufuata ngazi mbalimbali za kiutawala kwa kuanzia ngazi za chini za mikutano ya Wananchi.Aidha, hufuatiwa na viikao vya Kamati ya Maendeleo ya Kata (WDC), Timu ya menejimenti ya Halmashauri (CMT), Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango (FUM), Baraza la Madiwani, Kamati ya Ushauri ya Wilaya (DCC), na hatimaye kuridhiwa na Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC).#Nyang'hwaleInasonga


Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU HALMASHAURI IMEPOKEA FEDHA TSH. BILIONI 1.1 ZA MIRADI YA MAENDELEO

    May 16, 2025
  • SIKU YA FAMILIA WAZAZI WATAKIWA KUIMARISHA FAMILIA

    May 15, 2025
  • BARRICK NA HALMASHAURI WASAINI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR 2025

    May 13, 2025
  • DAS AWATAKA WAZAZI KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

    May 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved