• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

KAMATI YA SIASA WILAYA YASHAURI WATAALAMU KUONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: September 18th, 2023

Kamati ya Siasa Wilaya ya Nyang’hwale leo Septemba 18, 2023 imefanya ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa kwa hatua mbalimbali.

Kamati hiyo imetembelea Mradi wa ujenzi wa Chuo Cha Ufundi Stadi (VETA) wenye thamani ya zaidi ya Tsh Milioni 228.9 na Mradi wa ujenzi wa Nyumba ya Mtumishi wenye thamani ya Tsh. Milioni 25. Miradi yote hii inatekelezwa Kijiji cha Iseni, Kata ya Kakora.

Wakiwa kwenye miradi hiyo, wajumbe wameridhishwa na maendeleo ya miradi na kushauri kuongezeka kwa kasi ya ujenzi ili kukamilisha miradi hiyo kwa wakati kama ilivyokusudiwa.

Aidha, wakiendelea na ziara hiyo, walitembelea pia Mradi wa ukamilishaji wa jengo la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi. Mradi huo wenye thamani ya Tsh. Milion 288.1, ambapo Serikali imeshatoa kiasi cha Tsh. Milioni 247.1.

“Mradi huu utatoa fursa ya kuongeza ufanisi katika kutoa huduma bora kwa Wananchi hasa ushauri wa maswala ya kiuchumi, utambuzi wa biashara, utoaji wa zana za kilimo, mafunzo ya ujasiriamali na masuala ya kodi”. Ilieleza taarifa ya mradi.

Wajumbe wa kamati pia walipata fursa ya kutembelea mradi wa ujenzi wa Shule mpya, Shule ya Sekondari Kanegele. Ambapo, mradi huo utagharimu kiasi cha fedha Tsh. Milioni 584.2 kutoka Serikali Kuu.

Wakiwa kwenye mradi huo wajumbe wameshauri ubora wa vifaa vya ujenzi na madini ujenzi uzingatiwe na usimamizi wa karibu ufanyike ili uweze kuwa mradi wenye ubora na viwango vinavyokubalika.

Kamati hiyo ilitanguliza shukrani za pekee kwa Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kendelea kutenga kiasi kikubwa cha fedha kutekeleza miradi hiyo ya maendeleo.







Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved