• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

KAMATI YA SIASA (W) YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2024.

Posted on: September 27th, 2024

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (W) Alhaj Adam Mtore jana Septemba 27, 2024 ameongoza wajumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya kukagua na kutembelea miradi itakayopitiwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024.

Akiwa kwenye ziara hiyo, Alhaj Mtore amesema Kamati yake imeridhishwa na hali ya utekelezaji wa miradi hiyo na kuipongeza Kamati ya maandalizi kwa uteuzi mzuri wa miradi na ufuatiliaji wa karibu.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya, Alhaj Adam Mtore (wa katikati) akisomewa taarifa ya mradi na Mwenyekiti wa kikundi cha vijana KIETA

“Kwa kweli kwenye miradi hii kazi imefanyika na inaendelea kufanyika kwa sababu kila tunapopita tunakuta mafundi wapo eneo la mradi na shughuli zinaendelea, hongereni sana.” Amesema

Mwenge wa Uhuru 2024 Wilayani Nyang’hwale unatarajia kuzindua mradi wa Ofisi ya Afisa Mtendaji Kata ya Nundu, Kuweka jiwe la msingi Bweni la Wasichana Shule ya Sekondari Bukwimba, Kutembelea mradi wa upandaji wa miti na utazindua klabu ya Wapinga Rushwa Shule ya Sekondari Igalula Mine.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya, Alhaj Adam Mtore (aliyevaa shati nyeupe) akikagua mradi wa ofisi ya mtendaji kata ya NUNDU

Sambamba na miradi hiyo, Mwenge wa uhuru pia utatembelea Mradi wa Umeme Kitongoji cha Nyamalapa, klabu ya kupambana na madawa ya kulevya Shule ya Sekondari Mwingiro, Kikundi cha Vijana Kieta cha Uchakataji wa Mazao ya nafaka na mradi wa kuongeza virutubishi vya lishe.

Aidha, Mwenge wa Uhuru utaweka jiwe la msingi Zahanati ya Kijiji cha Nyang’hwale, kutembelea mradi wa upanuzi wa maji kutoka Nyamtukuza kwenda Bululu, Ifugandi na Busolwa, na kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Boksi Kalavati barabara ya Kharumwa – Nyijundu.

Afisa lishe Wilaya Ndg ,Somoe Bakari (wa kwanza kushoto) akielezea jinsi mashine ya kuchanganya virutubishi inavyofanya kazi

Kabla ya kuelekea eneo la mkesha uwanja wa Sabasaba, Mwenge wa Uhuru pia utatembelea Wanafunzi wenye mahitaji maalum Shule ya Msingi Bupamba ili kujionea namna wanavyoweza kufanya shughuli ndogondogo.

Mwenge wa Uhuru 2024 unatarajiwa kupokelewa Wilayani Nyang’hwale Oktoba 03, 2024 Katika Kijiji cha Nyang’holongo na unaongozwa na kauli mbiu isemayo “Tunza Mazingira na Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Ujenzi wa Taifa Endelevu”

Mradi wa bweni la Wasichana shule ya Sekondari Bukwimba

 

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved