• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

KAMATI YA SIASA MKOA WA GEITA YARIDHISHWA NA UTEKELEZJI WA MIRADI NYANG’HWALE

Posted on: January 29th, 2023

Kamati ya Siasa Mikoa wa Geita imeridhishwa na Utekelezaji na Usimamizi wa Miradi ya Maendeleo inayotekelezwa ndani ya Wilaya ya Nyang’hwale katika kipindi cha mwaka wa fedha 2022/2023. Hayo yamebainika leo tarehe 29/01/2023 baada ya kamati hiyo ya siasa Mkoa kufanya ziara ya siku moja wilayani humo.

Mwenyekiti wa kamati ya Siasa ya Mkoa, ambaye ndio Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita Mhe. Nicolaus Kasendamila akiongoza ziara hiyo iliyoanza majira ya saa nne asubuhi akiwa ameambatana na wajumbe kutoa CCM Mkoa Pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martine Reuben Shigela.

Ziara hiyo ilitembelea miradi ya maendeleo katika wilaya ya Nyang’hwale. Miradi iliyotembelewa ni Pamoja na Mradi wa Maji Nyang’holongo. Ambapo Mwenyekiti wa Kamati alipata fursa ya kuongea na wanakijiji cha Nyang’holongo ambao walikua wachota maji kutoka kwenye Mradi huo uliokamilika kwa Asilimia 98. Pia mwenyekiti alimtwisha Bi Mariam ndoo kichwani ikiwa ni ishara ya Kumpongeza Rais wa Awamu ya Sita (6) Mhe Samia Suluhu Hassan kwa jitiada zake za kuondoa adha ya Maji kwa Watanzania.

Miradi mingine ambayo ilitembelewa na Kamati ni Pamoja na Kikundi cha Bodaboda Saccos kilichopo Kata ya Kharumwa, Kutembelea na kukagua madarasa 6 katika Shule ya Sekondari Msalala ikiwa ni miongoni mwa madarasa 26 yaliyojengwa kwa kiasi cha shilingi Mil 520 zilizotolewa na Serikari Kuu zilizopewa jina maarufu la POCHI LA MAMA. Mradi mwingine uliotembelewa ni Ujenzzi wa jengo la Upasuaji, wodi ya wanawake na wanaume, jengo la kuhifadhia maiti na kichomea taka ambavyo vikikamilika vitakua vimetumia Shilingi Mil 800.


Announcements

  • MAPOKEZI YA FEDHA KIASI CHA TSH.20,000,000.00 TOKA GPE - LANES II March 28, 2023
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA March 27, 2023
  • KUSOGEZA MUDA WA UFUNGUZI WA ZABUNI UJENZI WA UZIO WA KARAKANA March 24, 2023
  • TANGAZO LA USAFI WA MAZINGIRA WA KILA JUMAMOSI YA MWISHO WA MWEZI. March 22, 2023
  • View All

Latest News

  • KURUGENZI FC YA NYANG'HWALE YAPATA UONGOZI MPYA BAADA YA UCHAGUZI LEO

    March 23, 2023
  • SERIKALI YATOA PIKIPIKI 4 KWA MAAFISA UGANI - NYANG'HWALE

    March 23, 2023
  • KIKAO MAALUM CHA KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO CHARIDHIA KUBADILI MFUMO WA UJENZI JENGO LA HALMASHAURI - NYANG'HWALE

    February 25, 2023
  • MKUTANO WA PILI WA BARAZA LA MADIWANI KWA KIPINDI CHA ROBO YA PILI YA MWAKA WA FEDHA 2022/2023.

    February 24, 2023
  • View All

Video

Ligi daraja la tatu
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved