• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

JAMII IWAJIBIKE KUMLINDA MTOTO WA KIKE

Posted on: October 12th, 2023

Maadhimisho ya “Siku ya Mtoto wa Kike” kwa Wilaya ya Nyang’hwale yamefanyika kikamilifu jana Oktoba 11, 2023 katika viunga vya Shule ya Sekondari Izunya iliyopo Kata ya Izunya.

Maadhimisho haya ni utekelezaji wa tamko la Baraza kuu la Umoja wa Mataifa liloketi Disemba 19, 2011 ambalo lilielekeza Nchi wanachama wa umoja huo kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike.

Madhumuni ya maadhimisho haya ni kuthamini jitihada mbalimbali zinazochukuliwa na Nchi wanachama wa umoja wa Mataifa katika kuboresha upatikanaji wa haki, ulinzi, na ustawi wa maendeleo ya mtoto wa kike.

Afisa Ustawi wa jamii, Ndugu, Octavianus Rweyendera, amesema kuwa Jamii inapaswa kuhakikisha mtoto wa kike anapata haki zake za msingi. Haki hizo ni pamoja na haki ya kuishi, kupata elimu, kushirikishwa, kulindwa na kuendelezwa.

Afisa elimu sekondari, Linus Samson amesema Serikali kupitia Wizara ya Elimu na TAMISEMI inaendelea kufanya juhudi za kuweka mazingira mazuri kwa mtoto wa kike kuweza kupata elimu bora.

“TAMISEMI na Wizara ya Elimu wameleta Mpango wa Shule salama shuleni, Serikali imetenga fedha kwa ajili ya mpango wa shule salama ambapo kwa idara ya sekondari tunaita fedha za SEQUIP” Amesema Ndugu Linus

“Lengo la mpango huu ni kupunguza umbali mrefu kwa mwanafunzi kutoka nyumbani kuifikia shule ilipo. Mpango huu tumeanza kutekeleza mwaka jana kwa kujenga Shule ya Sekondari Nyamtukuza ambayo imesaidia kupunga umbali mrefu kwa Wanafunzi” Ameongeza Ndugu Linus.

Diwani wa Viti Maalum, Kata ya Izunya, ambaye pia ndiye mgeni rasmi wa halfa hiyo, Mhe. Salome Gwanchele amewaasa Wanafunzi wa kike kuwasikiliza wazazi na walezi wao kwa ustawi mzuri wa maisha yao ya sasa na baadae.

Maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike duniani hufanyika kila mwaka ifikapo Septemba 11, 2023. Maadhimisho ya mwaka huu 2023 yamebebwa na kauli mbiu isemayo “Haki Zetu ni Hatma Yetu Wakati ni Sasa”


Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved