• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

HONGERENI NYANG’HWALE KWA KUJENGA MSINGI IMARA WA KUPATA HATI SAFI - MKUU WA MKOA WA GEITA, MHE. MARTINE SHIGELA

Posted on: June 26th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martine Shigela ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale kwa kujenga msingi imara wa kuhakikisha wanapata hati safi kila mwaka kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG)

Amesema hayo jana Juni 25, 2024 kwenye Mkutano maalum wa Baraza la madiwani wa kujadili hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) uliofanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo Jengo la utawala la  Halmashauri.

“Hongereni sana kwa mafanikio haya na ni matumaini yangu kuwa mafanikio haya hayatarudi nyuma. Muendelee kuboresha kwa kupunguza hoja kwa sababu swala la hati safi mmejenga msingi na msingi huo ni pamoja na kupunguza hoja za ukaguzi” Mhe. Martine Shigela.

Mhe. Shigela ameelekeza pongezi zake pia kwa Halmashauri kwa kuendelea kufikia malengo ya kukusanya mapato kwa asilimia zaidi ya mia moja.

“Mwaka jana mlikusanya zaidi ya asilimia mia moja na mwaka huu kabla hamjafunga mwaka mmekua na zaidi ya asilimia mia moja. Maana yake Halmashauri yenu inakusanya vyema mapato na Watumishi wenu wanajipanga kusimamia vizuri hayo mapato” Ameongeza Mhe. Shigela.

Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale imefanikiwa kupokea hati safi kwa miaka minne mfululizo kutokana na taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) inayoishia Juni 2023.Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martine Shigele akizungumza kwenye Mkutanao maalumu wa Baraza la Madiwani la kujadili hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)







Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU HALMASHAURI IMEPOKEA FEDHA TSH. BILIONI 1.1 ZA MIRADI YA MAENDELEO

    May 16, 2025
  • SIKU YA FAMILIA WAZAZI WATAKIWA KUIMARISHA FAMILIA

    May 15, 2025
  • BARRICK NA HALMASHAURI WASAINI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR 2025

    May 13, 2025
  • DAS AWATAKA WAZAZI KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

    May 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved