• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

DC KINGALAME AWAHAMASISHA BODABODA KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Posted on: November 14th, 2024


Mkuu wa Wilaya ya Nyang'hwale Mhe, Grace Kingalame leo Novemba 14, 2024 ameendelea kuhamasisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kutembelea vijiwe vya madereva wanaobeba abiria kwa pikipiki, maarufu kama Bodaboda.

Akiwa katika ziara hiyo Mhe, Grace Kingalame amewataka bodaboda hao na Makundi mengine kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura ili waweze kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa watakaowaongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

Aidha Mhe, Kingalame ametumia fursa hiyo kutoa rai kwa madereva bodaboda kuchukua tahadhari kwa kuzingatia Sheria za Usalama Barabarani kwa kuwapa viakisi mwanga (reflectors) vitakavyowasaidia kuepuka ajali.

Pamoja na mambo mengine Mkurugenzi Mtendaji wa H/W ya Nyang'hwale Ndg, Husna Toni amewahamasisha Vijana kuchukua mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Halmashauri kwa lengo la kuwainua Vijana, Wanawake na Wenye ulemavu.

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utafanyika Novemba 27, 2024 na ubebwa na kauli mbiu isemayo "Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi, Jitokeze Kushiriki Uchaguzi"




Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU HALMASHAURI IMEPOKEA FEDHA TSH. BILIONI 1.1 ZA MIRADI YA MAENDELEO

    May 16, 2025
  • SIKU YA FAMILIA WAZAZI WATAKIWA KUIMARISHA FAMILIA

    May 15, 2025
  • BARRICK NA HALMASHAURI WASAINI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR 2025

    May 13, 2025
  • DAS AWATAKA WAZAZI KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

    May 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved