• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

DC KINGALAME AMEONGOZA KUFANYA MAZOEZI KUELEKEA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA SIKUKUU YA MUUNGANO

Posted on: April 20th, 2024

Kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Sikukuu ya Muungano, Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale Mhe. Grace Kingalame, leo Aprili 20, 2024 ameongoza Watumishi na Wananchi mbalimbali kufanya mazoezi ya kuweka mwili sawa katika uwanja wa Shule ya Msingi Kharumwa.

Akizungumza na Wananchi baada ya mazoezi hayo, amesema kuwa ni muhimu kuwa na desturi ya kufanya mazoezi kila wakati kwa kuwa mazoezi ni tiba na huimarisha Afya.

Mhe. Kingalame ametoa wito kwa Wananchi wote kujitokeza katika kushiriki kwenye matukio yote yaliyopangwa kufanyika kuelekea kilele cha maadhimisho hayo ya Sikukuu ya Muungano.

Matukio hayo ni pamoja na kuhudhuria maombi na dua maalum ya kuliombea Taifa itakayofanyika Aprili 22, 2024 kuanzia saa mbili Asubuhi katika viwanja vya sabasaba.

Aidha, kuanzia siku hiyo ya Aprili 22, 2024 kila siku Saa kumi jioni hadi kufikia siku ya kilele, Aprili 26, 2024 kutakua na mashindano ya michezo ya mpira wa miguu, mpira wa pete na michezo ya jadi katika viwanja hivyohivyo vya sabasaba.

Tamasha la usiku wa muungano litafanyika siku ya Aprili 25, 2024 kuanzia Saa kumi jioni ambapo kutakua na burudani za vikundi mbalimbali vya kwaya, ngoma, na michezo mbalimbali.

Ambapo, Wananchi wakiwa kwenye viwanja hivyo ikifika muda wa saa tatu usiku wataungana na Watanzania wengine duniani kuangalia matangazo mubashara ya hotuba ya Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan atakapolihutubia Taifa.

Kilele cha maadhimisho hayo kitakua Aprili 26, 2024 ambapo kutakua na fainali ya mchezo wa mpira wa miguu na mpira wa pete.





Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved