• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

DC GRACE KINGALAME AKABIDHIWA OFISI

Posted on: January 31st, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale Mhe, Grace Kingalame leo tarehe 31/01/2023 alikabidiwa ofisi rasmi na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Mhe. Jamhuri David Willium ambaye alihudumu katika Wiliya ya Nyang’hwale kwa kipindi cha Mwaka Mmoja na Nusu. Mhe. Grace Kingalame aliteuliwa na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan tarehe 25/01/2023 kuwa Mkuu wa Wilaya ya  Nyang’hwale.

Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Nyang’hwale na kushuhudiwa na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, Wakuu wa Taasis, Wakuu wa Idara na Vitengo Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi, CCM.

Akizungumza katika hafla hiyo Mhe, Grace Kingalame Bulembo amesisitiza Ushirikiano katika masuala mbalimbali yaliyopo katika Wilaya ya Nyang’hwale ili kuweza kuiletea maendeleo Wilaya ya Nyang’hwale.

“Kwa kuwa mimi ni Mgeni naomba ushirikiano ili kuhakikisha tunapata Nyang’hwale tunayoitaka, tukosoane, tueleweshane kwa pamoja, kila mtu afanye kazi kwa bidii katika nafasi yake ili aache alama” alisema Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale.

Akitoa neno la Shukrani aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale Mhe, Jahmuri David Willium amesema anawashukuru Viongozi na Wananchi wote wa Nyang’hwale kwa Ushirikiano waliouonyesha katika kipindi cha uongozi wake na kuwataka waendelee kumpatia Mhe Mkuu wa Wilaya mpya ushirikiano huo ili kujenga Nyang’hwale yenye mafanikio.

“Tulikuwa tunakesha kwa pamoja kuhakikisha jambo letu linafanikiwa, ninachowaomba ushirikiano mlionipa uleule mumpatie Mhe Grace kila mtu kwa nafasi yake ampatie ushirikiano ili kuiletea Nyang’hwale Maendeleo” alisema Mhe Jahmuri.

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 03, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • View All

Latest News

  • NYANG'HWALE YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 11, 2025
  • MILIONI 303 ZATOLEWA KWA VIKUNDI 53 VYA VIJANA, WANAWAKE NA WENYE ULEMAVU AWAMU YA PILI

    June 03, 2025
  • NYANG'HWALE YAZINDUA ZOEZI LA CHANJO DHIDI YA KICHAA CHA MBWA

    June 02, 2025
  • `MAAFISA MAENDELEO WATAKIWA KUSHAURI MIRADI YENYE TIJA KWA VIKUNDI

    May 30, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved