• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

DC GRACE KINGALAME AGAWA WA PIKIPIKI ZA SERIKALI KWA MAAFISA WATENDAJI WA KATA

Posted on: February 23rd, 2023

Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale ni miongoni mwa Halmashauri 184 ambazo zimepata mgao wa pikipiki kutoka Serikali Kuu. Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale ilipata pikipiki 6 Kwa ajili ya Maafisa Watendaji wa Kata. Hii ikiwa ni Azima ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ya kuendelea kuondoa changamoto za kiutendaji Kwa Watumishi Ili kuwezesha kufanya kazi Kwa bidii, kufanikisha malengo yaliyokusudiwa na kutekeleza ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI  ya Mwaka 2020.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale Bi Husna Toni akitoa maelezo katika hafla fupi ya ugawaji wa pikipiki hizo Kwa Maafisa Watendaji wa Kata yaliyofanyika katika ofisi za Halmashauri alisema Ofisi yake ilishatoa Mafunzo Kwa Maafisa Watendaji wa Kata wote Kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Wilaya ya Nyang'hwale Kitengo Cha Usalama Barabarani na Chuo Cha Winpas Driving School. Aliendelea kusema Tayari Wana ujuzi na waledi katika matumizi ya pikipiki hizo. Pia alitoa onyo Kwa Maafisa Watendaji kuendesha vyombo hivyo pasipo kuwa na leseni.

Kata zilizokabidhiwa Pikipiki hizo ni Kata ya Nundu, Mwingiro, Kafita, Busolwa, Izunya na Nyugwa.

Mkuu wa Wilaya Grace Kingalame

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved