• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

BENKI YA NMB YATOA ELIMU YA FEDHA KWA VIKUNDI VYA VIJANA, WANAWAKE NA WENYE ULEMAVU

Posted on: January 18th, 2025

Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale kwa kushirikiana na benki ya NMB imefanya mafunzo kwa vikundi vya Vijana, Wanawake, na watu wenye ulemavu wanaotarajia kupata mikopo ya 10% inayotolewa na Serikali kupitia Halmashauri.

Mafunzo hayo yamefanyika jana Januari 17, 2025 katika ukumbi wa Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na kuhudhuriwa na vikundi mbalimbali vya Vijana, wanawake na watu wenye ulemavu vinavyojishughulisha na shughuli mbalimbali za ujasiriamali.

Afisa maendeleo ya Jamii (W) Ndg, Majagi Maiga, amesema lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo wa kuzitambua taasisi zinazowezesha jamii zilizopo katika kituo cha uwezeshaji wananchi kiuchumi, namna ya kuendesha vikundi, utunzaji wa fedha na matumizi sahihi ya mikopo.

Afisa Mahusiano wa Benki ya NMB tawi la Nyang’hwale, Ndg, Isaya Lemaso, amesema wamewaelimisha juu ya ufunguaji wa akaunti za pamoja, sifa za akaunti ya pamoja na umuhimu wa kuwa na akaunti ya pamoja.

Aidha, Diwani wa Kata ya Kharumwa, Mhe, Leonard Mgema amevitahadharisha vikundi hivyo kujihusisha na mikopo umiza inayotolewa mitaani na wafanyabiashara na kuvitaka vikundi hivyo kuchangamkia fursa ya kupata mikopo isiyokua na riba inayotolewa na Serikali.

Kwa niaba ya wanakikundi waliohudhuria mafunzo hayo, Mwenyekiti wa Kikundi cha TULEANE ametoa shukrani zake kwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe, Dkt, Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia fursa ya kupata mikopo isiyo na riba na kuahidi kuyafanyia kazi mafunzo waliyoyapata katika kuendesha vikundi vyao.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved