• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

BARRICK NA HALMASHAURI WASAINI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR 2025

Posted on: May 13th, 2025

Kampuni ya uchimbaji madini, Barrick Bulyanhulu kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale, leo Mei 13, 2024 wamesaini mkataba wa makubaliano ya utekelezaji wa miradi ya wajibu kwa Jamii (CSR) kwa mwaka 2025.

Hafla ya kusaini mkataba huo imefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ambapo umeshuhudiwa na viongozi mbalimbali kutoka Ofisi ya Mkuu wa Wilaya na Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri.

Mwenyekiti wa Halmashauri, Mhe, John I. John amesema Halmashauri imesaini mkataba huo na kampuni ya Barrick wenye thamani ya fedha za kitanzania Shilingi Bilioni 1.07 ambapo kupitia fedha hizo, Halmashauri itatekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.

Amesema miradi itakayotekelezwa kwa fedha hizo ni pamoja na ujenzi wa madarasa manne katika Shule ya Mchepuo wa kingereza yaani Kharumwa English Medium, Ukamilishaji wa Stendi ya mabasi Ikangala na ununuzi wa madawati katika Shule za Msingi.

Miradi mingine ni ujenzi wa matundu ya vyoo 20 Shule ya Msingi Lubando, na Shule ya Msingi Gulumbai, Ukamilishaji wa Nyumba ya Mtumishi Zahanati ya Nyang’holongo,na Ukamilishaji wa ununuzi wa gari la Wanafunzi katika Shule ya Mchepuo wa kingereza.

Pia, fedha hizo zitatumika kununua samani za zahanati kumi, ununuzi wa trekta, ukamilishaji wa madarasa mawili Shule ya Msingi Lushimba, Ujenzi wa madarasa mawili Shule ya Msingi Kasubuya na Shule ya Msingi Mwamakiliga.

Kutokana na maboresho ya kanuni za CSR, asilimia 40 ya fedha hizo zitatumika kutekeleza miradi katika Kata ya Mwingiro pekee, ambapo kutakua na ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari Iyenze, kuanzisha Shule Shikizi ya Msingi Nyamikonze, kuchimba visima na uwekaji wa sola Zahanati ya Mwingiro na ukamilishaji wa darasa moja Shule ya Msingi Mwingiro.

Katibu Tawala (W), Ndg, Kaunga Omari amesema kwa kuanzia sasa kila mtaalamu akaanze kutekeleza wajibu wake ili itakapofika mwezi Disemba, 2025 miradi yote iwe imekamilika na ianze kutoa huduma kwa Wananchi.


Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU HALMASHAURI IMEPOKEA FEDHA TSH. BILIONI 1.1 ZA MIRADI YA MAENDELEO

    May 16, 2025
  • SIKU YA FAMILIA WAZAZI WATAKIWA KUIMARISHA FAMILIA

    May 15, 2025
  • BARRICK NA HALMASHAURI WASAINI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR 2025

    May 13, 2025
  • DAS AWATAKA WAZAZI KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

    May 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved