• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

BARAZA LA MADIWANI NYANG’HWALE LABITISHA BAJETI YA BIL 31.0 KWA MWAKA 2023/24

Posted on: January 25th, 2023

Baraza la Madiwani, Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale lapitisha bajeti ya Shilingi za Kitanzania Bilioni 31.0 kama bajeti ya utekelezaji wa shughuli za serikali katika Halmashauri hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2023-2024. Katika kikao Maalum kilichokaa kwa siku mbili (2) tangu tarehe 24/01/2023 na 25/01/2023 kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri, Wajumbe wa Baraza Maalum walipokea rasimu ya bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale  kwa mwaka wa fedha 2023/2024 kwaajili ya kupitia, kujadili na kupitisha bajeti hiyo.

Akiwasilisha Mpango wa Bajeti katika Mkutano huo Kaimu Afisa Mipango wa Halmashauri Bi Angella Kiwia alisema mpango huu wa bajeti ya mwaka wa fedha 2023/24 umeandaliwa kwa kuzingatia Sheria ya bajeti Na. 11 ya mwaka 2015 pamoja na kanuni zake, Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020/2025, mwongozo wa maandalizi ya mpango wa bajeti wa mwaka 2023/2024, mpango mkakati wa Wilaya kwa mwaka 2020/2021 – 2024/2025, Dira ya Taifa ya Maendeleo yam waka 2025 na Malengo endelevu 2030 ya Umoja wa Mataifa (SDGs).

Bi Angella Kiwia alieleza vipaumbele vilivyozingatiwa katika mpango ni Kukamilisha Miradi Viporo,

Kulipa madeni ya Watumishi na Wazabuni, Kuimarisha na kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji Wilayani kwa wafanyabiashara wadogo na wakubwa, kuimarisha kilimo kwaajili ya upatikanaji wa chakula na kuongeza tija, kuboresha mazingira ya ulipajo kodi kwa hiari na kuogeza wigo wa kodi na kuimarisha na kuhimiza matumizi sahihi ya mifumo ya TEHAMA ya ukusanyaji wa mapato ili kuongeza mapato ya ndani ya Halmashauri.


Bi Angela Kiwia alifafanua kuwa kiasi cha shilingi bilioni 3.5 ni fedha za mapato ya ndani, kiasi cha shilingi bilioni 13.7 ni fedha za Ruzuku (Mishahara na Matumizi mengineyo – serikali kuu), kiasi cha shilingi 8.58 ni fedha za miradi wahisani na Kiasi cha shilingi bilioni 5.1 ni fedha za Miradi (ruzuku).

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved