• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Wiki Mbili Zatolewa kwa Halmashauri Kujibu Hoja za CAG

Posted on: July 16th, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Gabriel Robert ameutaka uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale kujibu Hoja za Mdhibiti na Mkaguzi wa Serikali (CAG) zilizopelekea Halmashauri hiyo kupata Hati Chafu mwaka wa Fedha 2017/18.

Akihitimisha Baraza maalum la kujadili Hoja za Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali mapema leo Wilayani Nyang’hwale, RC Gabriel amewaagiza kuwasilisha nyaraka zote zinazohitajika kwenye Ofisi za Mthibiti na Mkaguzi wa Hesabu ili kuweza kujibu hoja zote za Msingi zilizopelekea Taasisi hiyo kupata Hati Chafu.

Aidha, ameagiza Halmashauri hiyo kuhakikisha inakusanya mapato kwa nguvu zote ili kuweza kujikimu kwenye shughuli za kila siku na kuweza kulipa madeni hasa ya Madiwani na Wazabuni yaliyokithiri.“ ,…tupanue wigo wa mapato, tufanye utafiti na kuibua vyanzo vya mapato” alisema Mkuu wa Mkoa.

Vilevile, amesisitiza watendaji ana Madiwani kushirikiana kwenye utendaji na kuwa wawazi kwenye utekelezaji wa Miradi.   “Fedha zinazokuja Nyang’hwale zijulikane, vikao vikae na mpango kazi wake” alisema.

Awali, Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali alifafanua kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale imepata Hati mbaya kwa mwaka wa Fedha 2017/18 kutokana na Hoja nne za Msingi za kutowasilisha Vocha za malipo wakati wa Ukaguzi, Kuhamisha Fedha kwenye Akaunti pasipo kuonesha zilikotumika, uwepo wa malipo yasiyo na Nyaraka na kutowasilishwa kwa Vitabu Hamsini vya kukusanyia mapato wakati wa Ukaguzi.

Baada ya Mdhibiti kufafanua kuwa makundi hayo manne yalizaa Hoja Sitini na Sita na baadae Taasisi imejibu Hoja Ishirini na mbili na Hoja Arobaini na Nne hazijajibiwa bado, Mjadala wa hoja Ulianza Chini ya Mwenyekiti wa Mkutano huo maalumu Mkuu wa Mkoa wa Geita.

Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Mheshimiwa John Isack alitaka Ofisi ya Ukaguzi kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa na kuwasilisha taarifa ya Ukaguzi kwa Majadiliano kwenye kila robo ili kuipa Taasisi mwanga wa wapi tunakwenda.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri alimhakikishia Mkuu wa Mkoa kuwa ataendelea kuisimamia Taasisi vizuri na kwamba atahakikisha Asilimia Kumi ya Fedha za Mapato ya Ndani zitawafikia Makundi ya Wanawake, Vijana na Walemavu kwani ameweka mfumo wa kila kukatwa moja kwa moja Fedha hizo kila zinapoingia.

Nao waheshimiwa Madiwani wamesisitiza uwajibikaji kwa Watumishi na wakaomba suala la Fedha za Makundi ya Wanawake, Vijana na Walemavu zifike kwa walengwa  na si vinginevyo.

Announcements

  • KUITWA KWENYE USAILI WATENDAJI WA VIJIJI NA MAKATIBU MAHSUSI OKTOBA 16 NA 17, 2019. October 10, 2019
  • Matokeo ya Mtinani wa Maarifa (QT) January 30, 2018
  • Orodha ya watumishi walihakikiwa na wanaostahili kulipwa madai mbalimbali February 12, 2018
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MACHI 2018 March 27, 2018
  • View All

Latest News

  • Wiki Mbili Zatolewa kwa Halmashauri Kujibu Hoja za CAG

    July 16, 2019
  • Wafanyakazi waonywa kujihusisha na vitendo vya Rushwa

    May 01, 2019
  • RAS atoa Maagizo mazito Nyang'hwale

    April 12, 2019
  • Jamii Nyang’hwale yatakiwa kuachana na mila zinazokwamisha Wanawake

    March 08, 2019
  • View All

Video

Ligi daraja la tatu
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 719592395

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved