• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

RAS atoa Maagizo mazito Nyang'hwale

Posted on: April 12th, 2019

Katibu Tawala wa Mkoa wa Nyang’hwale Ndugu Denis Bandisa  amewataka Watumishi wa Halmashauri hiyo kujibu hoja themanini na tano zilizo kwenye makundi manne zilizopelekea  Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale kupata Hati Chafu kwa mwaka wa Fedha 2017/18 ripoti iliyosomwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.

Akiongea na Watumishi kwenye Ukumbi wa Halmashauri amesema, Watumishi wote wanapaswa kufanya hivyo mapema iwezekanavyo ili kufanya hoja hizo zifutwe na kuondoka kwenye Hoja hizo ili Halmashauri ipate Hati safi kwenye Hesabu zijazo.  

Aidha, Bandisa ameagiza kuchukuliwa hatua kwa wote waliosababisha Hoja hizo kama miongozo inavyohitaji ili kutoa fundisho kwa Watumishi wengine kuona umuhimu wa Kujibu oja kila wanapohitajika.

Kutokana na Udhaifu wa Menejimenti ya Halmashaurir kwenye kujibu hoja hizo, ameagiza kusitisha kwa taratibu zote zinazoendelea za kuwathibitisha Makaimu wote kwenye Idara na Vitengo wanavyovihudumia hadi Halmashauri itapopata Hati safi mwakani.

Bandisa amesisitiza Idara ya Fedha na Ofisi ya Mkaguzi wa Ndani kuhakikisha wanaitoa Halmashauri ilipo na kusonga mbele kwa kushirikiana na sio kutupiana lawama. “shida zote, raha zote ziwe za wakuu wa Idara”… alisema.

Katika kufanikisha hayo, Mtaalamu wa Masuala ya kifedha kutoka Ofisi ya Katibu Tawala wa Mkoa Ndugu Mabula amewataka Idara ya Fedha kuandaa Orodha ya Majedwali yaliyo na hoja zote 85, kuchambua Hoja na kuona ambazo hazijajibiwa kama zinahitaji majibu kwa msaada wa vielelezo kutoka Taasisi zingine, uimarishwaji wa Mifumo ya Fedha ni muhimu hasa Wadaiwa wa Fedha za Mapato na Vitabu vipatikane.

Bwana Mabula amesema majibu yasiyo ya kweli na yasiyo na uhakika hayatatutoa kwenye hoja hizo hivyo inatupasa kuwa weledi na waadilifu kweli kuhakikisha tunafanikisha.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale Mhe. Hamim Gwiyama alisema Hati chafu tuliyopata ni matokeo ya Kukiuka taratibu za Kifedha, na kukosekana kwa umakini katika kazini akakgiza kuanzia kesho Watumishi wenye hoja waanze kujibu hoja hizo mara moja.

Announcements

  • KUITWA KWENYE USAILI WATENDAJI WA VIJIJI NA MAKATIBU MAHSUSI OKTOBA 16 NA 17, 2019. October 10, 2019
  • Matokeo ya Mtinani wa Maarifa (QT) January 30, 2018
  • Orodha ya watumishi walihakikiwa na wanaostahili kulipwa madai mbalimbali February 12, 2018
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MACHI 2018 March 27, 2018
  • View All

Latest News

  • Wiki Mbili Zatolewa kwa Halmashauri Kujibu Hoja za CAG

    July 16, 2019
  • Wafanyakazi waonywa kujihusisha na vitendo vya Rushwa

    May 01, 2019
  • RAS atoa Maagizo mazito Nyang'hwale

    April 12, 2019
  • Jamii Nyang’hwale yatakiwa kuachana na mila zinazokwamisha Wanawake

    March 08, 2019
  • View All

Video

Ligi daraja la tatu
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 719592395

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved